Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wow,welcome back kiongozi.Jana kuna mtu kasema ulikua police station umekamatwa!JF hii watu wambea sana.

Hiyo post uliyoquote ni ya mkongwe Mkandara, ni yaleyale unamquote mtu inakuja post ya jukwaa la siasa.

By the way merry xmass to u and Mdakuzi. Love u mingi wenye stress za maisha na wajitundike.
 
Last edited by a moderator:
Haha haaaaa,kaja jana mwaya...
Kanipa ripoti ya mwana huko alikotoka ni balaa...Kiba yupo juu sana.

sanaaa yaani, basi tu asindwe yeye kutuburudisha ila tunaomkubali tupo wengiii sana
 
Hiyo post uliyoquote ni ya mkongwe Mkandara, ni yaleyale unamquote mtu inakuja post ya jukwaa la siasa.

By the way merry xmass to u and Mdakuzi. Love u mingi wenye stress za maisha na wajitundike.

Hahahaaa! nifah kanichekesha sana, nimeshangaa kabeba mzigo wa Mkandara kauleta huku, nikaona yaleyale.
Ashukrani Kamanda kwa kurejea tena hapa ili tulisongeshe hadi waumwe bila kuugua.
Merry Christmas na kwako pia, sherehekea kwa amani ili iishe kwa amani. Pamoja sana mkuu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom