Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hahaaa!!! ulipotelea wapi jamani? long tym no see? CCM 4real au ndio ubusy na uchaguzi? karibu tena tulisongeshe
daaah!
yaan we acha tu....uchaguzi huu sitausahau ktk harakati zang za siasa!
hakika tumechokwa na watanzania,anyway general election 2015 kazi ipo kama tusipochukua hatua bibie...
 
Nyie token tu uongoz amuwez

Unaonaje ukianza kuipig vita CCM
 
daaah!
yaan we acha tu....uchaguzi huu sitausahau ktk harakati zang za siasa!
hakika tumechokwa na watanzania,anyway general election 2015 kazi ipo kama tusipochukua hatua bibie...

Hizi zilikuwa ni salamu tu gharika linakuja mwakani ujiandae rasmi kisaikolojia Kikwete atakapoanza kuitwa mwenyekiti wa kambi ya upinzani.
 
mkuu hiyo ngumu sana.....
anyway huyo jamaa hatumtaki hata kumsikia ndo kasababisha yote haya
 
Back
Top Bottom