Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Unazingua
Ndio Dada nazingua tu ulijuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua
Dume aongei taarabu
Karibu supu ndio naandaa mbuzi wa jana maksai alinona mno, asubuhi hii ni supu ya nguvu.
daaah!hahaaa!!! ulipotelea wapi jamani? long tym no see? CCM 4real au ndio ubusy na uchaguzi? karibu tena tulisongeshe
Mmmmh!Ndio dogo
Mmmmh!
dogo tena?uliwahi kula ugali wa yanga???
sabato njema wakuu
daaah!
yaan we acha tu....uchaguzi huu sitausahau ktk harakati zang za siasa!
hakika tumechokwa na watanzania,anyway general election 2015 kazi ipo kama tusipochukua hatua bibie...
daaah!
yaan we acha tu....uchaguzi huu sitausahau ktk harakati zang za siasa!
hakika tumechokwa na watanzania,anyway general election 2015 kazi ipo kama tusipochukua hatua bibie...
Hizi zilikuwa ni salamu tu gharika linakuja mwakani ujiandae rasmi kisaikolojia Kikwete atakapoanza kuitwa mwenyekiti wa kambi ya upinzani.
mkuu hiyo ngumu sana.....Hizi zilikuwa ni salamu tu gharika linakuja mwakani ujiandae rasmi kisaikolojia Kikwete atakapoanza kuitwa mwenyekiti wa kambi ya upinzani.
hapana!Utafanya wajitundike
ooh!kumbe bado yanki sana.....kuwa uyaone kijana!Aisee ule ugali nilikulaga ila nilikua katoto🙂🙂🙂
yap!Kumbe leo n jumamosi
ooh!kumbe bado yanki sana.....kuwa uyaone kijana!
yap!
ubwabwa umekulevya???