Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #6,261
waaaooooh!!! wellcome back jamani we missed you, hahaaa na wanauckiliza kila uchao
Merry Christmass.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waaaooooh!!! wellcome back jamani we missed you, hahaaa na wanauckiliza kila uchao
Merry Christmass.
Noel njema kwa wale wahusika.. wengine msubiri heri ya mwaka mpya..... pop it in... in Kiba's voice..
Merry x-mass kwa wahusika!
Nimerudi town mrembo.....mwana ndo habari ya mujini!wewe Buku saba FC umefufuka?
kiwanja kipi leo??thank you guys, na muwe na siku iliyotulia
Nimerudi town mrembo.....mwana ndo habari ya mujini!
kiwanja kipi leo??
ha ha ha haaaaaa!mie mwenzangu sio wa viwanja hataaa, home sweet home with family ni kiwanja toshaaa
karibu tabata kimanga.....mie mwenzangu sio wa viwanja hataaa, home sweet home with family ni kiwanja toshaaa
Merry Christmass!I personally missed yoooou!!
ha ha ha haaaaaa!
hongera kwa hilo
karibu tabata kimanga.....
Asanteee mpenzi,nikutakie kheri ya kristmas na mwaka mpya wenye baraka😘😘😘
Kyoma,
Nakubaliana na wewe moja kwa moja ikiwa mtaweza kutupa vigezo kama hivyo ulivyotaja hapo juu.
1. Walionunua vyeti kwa fedha -Hawa ni wabunge ambao hawakupata elimu kama vyeti vyao vinavyoonyesha...hawa ni akina nani?
Pia kama sheria hii ipo basi, tuwatafute madaktari, walimu, wataalm wote ambao inawezekana wamenunua vyeti hivi. Tukianza na wabunge, kisha hata wafanya biashara wote ambao wamefungua biashara zinazohitaji Utaalam. Huwezi kfungua hospital ikiwa wewe huna elimu ya Udaktari klwa sababu kuna safty mesures kibao ambazo unatakiwa kuzifahamu.
2. Kuna fungu lan hao waliosoma hizo shule za Mtandao ambazo hazitambuliiki nchini humo.
Kyoma hapa nina Utata mkubwa kwa sababu shule kama Pacific University na Washington International University hazitambuliki kwao Marekani kwa sababu ambazo wewe na mimi hatuzifahamu, lakini sio swala la kutokuwa na majengo ya shule. Kumbuka hizi ni shule zinzzotoa elimu kimataifa kwa njia ya Mtandao. Yawezekana kabisa Vyuo hivyo havukukamilisha masharti ya usajili wa shule za mtandao nchini humo.
Kuna shule nyingi za elimu kwa njia ya mtandao ambazo zimesajiliwa na hazina majengo - hizi zipo ktk list ya kutambulika lakini pia hazitambuliwi na baadhi ya vyuo vikuu nchini humo. Na kuna baadhi ya viongozi Mareakani wamesoma vyuo hivi kujiendeleza. Na kuna watu wengine wamesomeshwa majumbani mwao na walimu maalum kutokana na fedha zao bila kwenda shule na wamehitimu masomo yao. Je, hawa pia tuwatoe nje?
Commonwealth kinatambulika huko kiliposajiliwa lakini hii isiwe sababu ama kigezo kwetu kuitambua shule hiyo. Pia kwa sababu Washington University haitambuliki Marekani kama chuo haina maana hata sisi tusikubali cheti cha msomi huyo.
Kwanza tuwe na Utaratibu wetu kuhusu Elimu na viwango vyake. Tuwe na masharti ya Elimu hiyo kama ilivyo ktk UHASIBU. Kisha baada ya kuweka viwango ndipo tunaweza kutazama ni vyuo vipi vinavyo-tosheleza elimu tunayoitaka..
Kuhusu watoto nitarudi baadaye!
Nimesusa kunifanya dafu mtu wa halafu.