Ali Kiba Fans' Special Thread...

Aisee unapenda Ligi sijapata kuona...

Hahahaha nifah umenichekesha sana... Mimi nafurahi kuona watu wanapambana kwaajili ya wanao penda! Ninacho furahi ni kuona upinzani kama ule wa yanga na simba!
Lakini msitoane macho!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha nifah umenichekesha sana... Mimi nafurahi kuona watu wanapambana kwaajili ya wanao penda! Ninacho furahi ni kuona upinzani kama ule wa yanga na simba!
Lakini msitoane macho!

Wala usijali macho hayatolewi lakini moto utamuwakia kila atakayejipendekeza
 
Last edited by a moderator:
Mi alinikunaga kwenye wimbo huu pia na una maana sana.
"Yule alie kupa wewe, ndo kaninyima mimi, na kama riziki anatoa yeye........ ila Mungu ndo anatoa hata kwa foleni hata kama niko nyuma nitapata lazima."

Na nani ampe rupia iende pasii na fadhira..yuule..mimi na yule,tulipenda yule,mimi na yule...

Huyu jamaa anaandika sana aise..
 
Mbona unajitesa sanaaaa omame omamee,omame haya mameee aaaeeee...
Uwiii rhumba limekoleaje???

We mwana rudii eeeh eeh..
Uchungu wa mwana aujuae mzazii..
Sikuzote milele eeeh..
Wanalia oooh ooh..
Kutwa nzima wanalalamika eeh..
Ona baba na mama yako oooh..
We mwana rudi eeeh...
Watafurahi wakikuona...
Umerejea salamaa......
 
Nimesikiliza hako kauwimbo cha F.A ft kibakuli kanachoitwa kamevunja rekodi ya mkito ni kabaya najuta kumaliza bundle yangu....
 
Hold on puliiiziii, Domo mshauri wake ni Wema tulipotaka kumpa ushauri mzuri hawara yake akatutukana tuachane nao kwanza visimu vyenyewe tunavyotumia ni Vitecno, sasa tumeamuwa kumrudishia Mfalme kiti chake tatizo liko wapi?

Mfalme wa taarab
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu kijana ameshatia albam ngapi...?
 
Nimesikiliza hako kauwimbo cha F.A ft kibakuli kanachoitwa kamevunja rekodi ya mkito ni kabaya najuta kumaliza bundle yangu....

aisee kama kuna nyimbo mbaya aliwahi kuitoa Binamu basi ni hii aliyomshirikisha "4real". ni majanga. bora turudi uswazi tucheze sugua gaga na kitorondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…