el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
aisee kama kuna nyimbo mbaya aliwahi kuitoa Binamu basi ni hii aliyomshirikisha "4real". ni majanga. bora turudi uswazi tucheze sugua gaga na kitorondo
Najaribu kuilinganisha na mfalme nimegundua ni sawa na kulinganisha kitambi na mimba...
Chorus waliyokuwa wanaisifia ni mbovu mnooo ...nimeusikiliza mara moja tu na siutaki tna