Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Imekuchomaaa...poyeeee....anahonga Murano tuuu....chezea kuhongwa miswaki...
Hivi kuhongwa ni sifa eeh?tuambie wewe umewahi kuhongwa nini?au ni kusherehekea murrano aliyohongwa mwenzio baada ya kug.o.ngwa kinyeo kwa miaka mi4???
Pole yako uliyoona magari ukubwani tumezaliwa tumeyakuta na hadi sasa tuna drive yetu wenyewe...huo wivu unatoka wapi sasa???
Labda angekua kanunua mwenyewe angeniumizaje jamani???