Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ngoja niwaache mjimwaaage nikirudi muandae na dozi ya headache maana nitatoa dozi si mchezo....naona maumivu ya kukosa tuzo mnakuja kuyamalizia hapa....wewe elnino si bingwa wa kuanzisha thread???kwa nini usiige hili wazo letu la special thread kwa fans wa Kiba?au unaogopa itabuma nini manake hapa mnapokezana kijiti wawili mkiongezeka sana mnakuwa watatu...
Nasikia ndomo kapewa dhamana na aliyemtoa ni chief kiumbe...umeshaenda kumkanda???nenda ukimaliza urudi...
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaaaas
 
Last edited by a moderator:
Huyo kibabu zama zake zimepita asitarajie kurud zama na nakshi nakshi,njiwa,Cinderela,one8,ndo yupo omega hvo ajiandalie mafao tu sio kuanza shindana na mdogo ake,,,ona sasa upowenyeewe tu kuku ww,mwambie kule kwa GT wtu hawafagilii upuuuzi,kama ww mwanamzik fanya muzik mzur wakusupport sio pila majungu tu,poor AliKiba

Chuki binafs...tumbaf wewe....kj
 
sasa mbona mnaendelea kumponda bhana mmnataka afe kabisa DIAMOND wa watu nyie hiihihihihihiii
 
Attachments

  • IMG_20141022_150623.jpg
    IMG_20141022_150623.jpg
    17.5 KB · Views: 413
Wewe toa ushaurii mbona unatuwaza sana badala utoe ushaurii,vipi t shirt zimetokaaaaa au mnasubiriii niniii

Hahahaaa....watu toka wasikie Diamond sukari ya warembo basi wanatamani kuionja, na hivyo ndo hawana uwezo wa kuipata ndo wanamchukiajeee...halafu nashangaa wanaume wanaomchukia na kumuweka midomoni wanataka nini...au sujui ndo ule ugonjwa wa Upungufu wa wanaume nchini (UWANCHI) unafanya kazi...

Chezea Dai wewe Kigoma line...kwa baba na mamaa...!
 
mbona unajiongelea sasa ilhali unajua huwezi ipata hiyo sukari, umebaki kuneng'eneka tu huku
 
Hapana chezeiyaaaaa Daimond ni kama washa washa lazima awawashe,kamuwasha kiba kashtuka lakini bado anasinziaaaa aamkeee
 
dah ni sheeeeda! ila wote wako juu domo kaniudhi kusema watu walikodiwa kumzomea ye apambane na soko bana aache visingizio watanzania tunataka vitu vizuri
 
mbona unajiongelea sasa ilhali unajua huwezi ipata hiyo sukari, umebaki kuneng'eneka tu huku
Wengine wanauza sukari Mfalme anatoa burudani ya ukweli ya kiwango cha juu,anasa na misifa ya kijinga katupa kulee,ivi unaanzaje kusifu pumba eti sukari ya warembo!!basi wakapike chai wanywee
 
Poleeeeeeeeee
 
Imekuchomaaa...poyeeee....anahonga Murano tuuu....chezea kuhongwa miswaki...

Hahahaaaa karibu mamaaa ya kigodoro naona umekuja kwa mwendo wa baiskeli ya miti....ulikua wapi siku zote???
 
Back
Top Bottom