Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Ngoja niwaache mjimwaaage nikirudi muandae na dozi ya headache maana nitatoa dozi si mchezo....naona maumivu ya kukosa tuzo mnakuja kuyamalizia hapa....wewe elnino si bingwa wa kuanzisha thread???kwa nini usiige hili wazo letu la special thread kwa fans wa Kiba?au unaogopa itabuma nini manake hapa mnapokezana kijiti wawili mkiongezeka sana mnakuwa watatu...
Nasikia ndomo kapewa dhamana na aliyemtoa ni chief kiumbe...umeshaenda kumkanda???nenda ukimaliza urudi...
Nasikia ndomo kapewa dhamana na aliyemtoa ni chief kiumbe...umeshaenda kumkanda???nenda ukimaliza urudi...
Last edited by a moderator: