aisee kama kuna nyimbo mbaya aliwahi kuitoa Binamu basi ni hii aliyomshirikisha "4real". ni majanga. bora turudi uswazi tucheze sugua gaga na kitorondo
Najaribu kuilinganisha na mfalme nimegundua ni sawa na kulinganisha kitambi na mimba...
Chorus waliyokuwa wanaisifia ni mbovu mnooo ...nimeusikiliza mara moja tu na siutaki tna
Ndomo kakosa tuzo? Usiniambie mie nianze kucheza oletemba sasa ivi mpaka hasubuhi
Mhhhhhhhh sasa huyu King alikua wapi siku zote????????
Kasubiri wenzake wamekaa kwenye game eti "The king is back...
Ali Kiba tunajua una sauti nzuri ila you were having all the time hukuweza kutumia
usilazimishe kurudi kwa nguvu just let the nature do its course.. ni sawa na sa hizi
Afande Sele arudi aanze kusema "Mfalme wa Rhymes" nimerudi" Ni kitu hakiwezekani
Kila mfalme na wakati wake..
Najaribu kuilinganisha na mfalme nimegundua ni sawa na kulinganisha kitambi na mimba...
Chorus waliyokuwa wanaisifia ni mbovu mnooo ...nimeusikiliza mara moja tu na siutaki tna
kumshabikia KIBA ni sawa na kuishabikia ARSENAL(ROHO MKONONI),wakati DIAMOND ni Madrid kwa bongo team ushindi
Nimesikiliza hako kauwimbo cha F.A ft kibakuli kanachoitwa kamevunja rekodi ya mkito ni kabaya najuta kumaliza bundle yangu....
Jamani sasa hivi ni saa 02:27 am usiku wa manane.
Na sasa natangaza rasmi kuwa naingia rasmi kwenye shift ya night kupambana na hawa vibwagala wa mondi mpaka wakimbie mji.
Kuanzia saa 03:00 am nakuwa hewani hadi asubuhi, kwa sasa bado napitia comment zenu.
Asanta mkuu, sasa ni saa 06:50 kwa EA time niko hapa kukupokea kijiti na leo ni friday, woza friday.
mi mbona inagoma hio nyimbo nikidownload?
Kiba's fans oyee!!ushauri wangu wa leo namwomba Mfalme asiegemee sana kule mawingu tutampoteza aisee....ila sina chuki na mawingu wala ninii,afu vipi kama leo tusipoteze calories zetu kujibishana na majini vitrooorondo maana hao ni kama wamepigwa wanatafuta shari na kupoteza maudhui ya uzi...Kimbelembele kitawatokea puani wa mtaa wa jirani!
Nakusikitikia hiyo bundle yako......Ukiona cmu yako inakataa basi ujue Mungu anakuepusha Udidownload nyimbo mbaya kama hiyo