Tobaaaaaa wakati mtoto nikishidwa majibizano ya nimekusambusambusambu kama kibagi nilikua naanza kuongea ata kilugha plus freach...... Ilikua inashilia kuwa nimeshindwa bila shaka na wewe ndo ivo ndugu........!!
Huu ubuyu umenigusa yatoe kwa kirefu basi kamtangaza liniiii
Tobaaaaaa wakati mtoto nikishidwa majibizano ya nimekusambusambusambu kama kibagi nilikua naanza kuongea ata kilugha plus freach...... Ilikua inashilia kuwa nimeshindwa bila shaka na wewe ndo ivo ndugu........!!
Nenda mkito utaipata😕
Habari buree magazeti hela buana unadhan kukaa kimya ni bure habari ndio hiyoo
Mbona mda hiyo ndo habari ya mjini ha ha ni shiiider
Achana nao hawajiwezi bwana wanatangaza vita na rungu mkononi wakati sisi tuna vifaru....ni bora kukaa kimya ukalinda heshima yako kuliko kujishaua wakati hujiwezi...
Eeeeee uuuwiiii basi China atakua kaenda kufanya surgery ya mku...... eti hhhhhaaaaaaaaa
Nimekuuliza wewe???kaa kimya ufuatilie mtanange sio kujipendekeza ili niujue uwepo wako haunisaidii
Haya pita hiviii kakutane na hii ========> ikutulize kama ndogo utakua na bwawa useme niongeze unene bye
Ila kusema ukweli Kiba mzuri toka kitamboo...nlikuwa namuonaga enzi zile anakula msoto studio za G2 kwa marehemu Roy...Mkaka mashallah tuu....!
Duh.......????? Pole sana ndo inayokutulizaga wewe usikute ndo mana umeachika Mara nyingi.......wenzio hatutulii tunaguna kimahaba ndugu.......!!! Sasa wewe unatulizwaga bana na unakua kama gogo?????? Afu ukimaliza unamwambia thanks my morning dew...... We endelea kujifanya wa kindangaten...... Kama inakutuliza wewe ni wewe peke yako
hahahaaaa huyo ndomo mwenyewe anamtangaza wema hatembei bila pedi maana kinye.o kimesha expire hana habari....uwiiiii mjini patamuje jamani???naanzaje kuhama sasa
Vifaru vipo wapii mbona sio zaidi ya mapovu tu tunayafulia nguo
Sasa gazeti la ninii,au ndio kazi kubwa matumizi kidogo
huu ubuyu umenigusa yatoe kwa kirefu basi kamtangaza liniiii
hahahaaass we nooma nkooooiiiii
Si umesoma na ujumbe umeupata????? Au ulitaka jarida????
Niko hapa wewe si umejidai kumleta shoga ako mkajinadi mmekuja kutibua nyongo???mbona sijaona akinigusa???ajaribu auone moto....