Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Tobaaaaaa wakati mtoto nikishidwa majibizano ya nimekusambusambusambu kama kibagi nilikua naanza kuongea ata kilugha plus freach...... Ilikua inashilia kuwa nimeshindwa bila shaka na wewe ndo ivo ndugu........!!
Achana nao hawajiwezi bwana wanatangaza vita na rungu mkononi wakati sisi tuna vifaru....ni bora kukaa kimya ukalinda heshima yako kuliko kujishaua wakati hujiwezi...