Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #1,081
Kiukweli kila mwanamke ana value yake ni shida mwanamke ukishindwa kuijuwa thamani yako, na hapa simaanishi pesa hata Family background zinamata.
Haiwezekani unatoka kwenye familia bora yenye maadili na wacha Mungu halafu unadate na vibaka kama Diamond ni aibu kwa familia hivi vipesa mbuzi visiharibu reputation za familia.

Ni kweli kabisa...tamaa ya pesa isituponze wadada tukasahau thamani ya utu wetu....
Nilikua nampenda sana Jokate...nimewahi kukutana nae akanipenda kwelikweli akataka nifanye nae kazi ya modeling lakini baada ya kutoka na mondi aiseee nilimshusha thamani sana....ilibidi nimuepuke kwa kweli...
Fame & insanity ndio inawasumbuwa wadada wa mjini.........
Unamjuwa Bellinda Mlingo? Sasa hivi ni mama na watoto wakubwa na bado anaita, siri yake ni kujitambuwa na kujitunza.

Teeh teeh teeh mahusiano yao yakakufanya uache kufanya kazi?
Ni yule Belinda Mgeni?yule ambaye kila siku anaturingishia bwanake wa kisambaa insta?
Kama ndiye nampata sana...ni kweli kajua jinsi ya kujintunza...
Sina muda wa kukujibu...unadhani nimeyasahau matusi yako???
Mimi namsema huyu alikuwa Marekani radio CiTR.
Mimi namsema huyu alikuwa Marekani radio CiTR.
nimemuona jana tv1
mzuri anajua kujieleza yaani
hawa celebrity wetu wangejua kujithamini wangefika mbali sana
Invisible tunaomba majibu mnataka tulipie sh ngapi ili muelewe kama uzi huu una vigezo vyote vya kuwa sticky?
Unataka ucheze kama gwaride la duiamond pale leaders au?kweli dushelele,Mwanadaresalama havichezeki??ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha!!Miziki yake haichezeki, inafaa kumwimbia mpenzi chumbani tu, sisi tunataka kurusha rusha miguu kama michael jackson, mwambie aache kuimba kikwaya kwaya, ikishindikana awaige Yamoto ndio habari ya mjini ingawaje D,mond ndio baba lao.
Ni kweli kabisa, ni miongoni mwa uzi zilizokua kwa kasi kubwa bila ya kuzingumzia masuala ya siasa. Ni muhimu kuupa heshima yake uzi huu, ila kama kunatakiwa malipo waseme.
Ova