Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kiukweli kila mwanamke ana value yake ni shida mwanamke ukishindwa kuijuwa thamani yako, na hapa simaanishi pesa hata Family background zinamata.

Haiwezekani unatoka kwenye familia bora yenye maadili na wacha Mungu halafu unadate na vibaka kama Diamond ni aibu kwa familia hivi vipesa mbuzi visiharibu reputation za familia.

ukweli mtupu
 
Ni kweli kabisa...tamaa ya pesa isituponze wadada tukasahau thamani ya utu wetu....
Nilikua nampenda sana Jokate...nimewahi kukutana nae akanipenda kwelikweli akataka nifanye nae kazi ya modeling lakini baada ya kutoka na mondi aiseee nilimshusha thamani sana....ilibidi nimuepuke kwa kweli...
 
Fame & insanity ndio inawasumbuwa wadada wa mjini.........

Unamjuwa Bellinda Mlingo? Sasa hivi ni mama na watoto wakubwa na bado anaita, siri yake ni kujitambuwa na kujitunza.
 
yule mmama mktyutii jamaniii
yaani anaita bado
 
Fame & insanity ndio inawasumbuwa wadada wa mjini.........

Unamjuwa Bellinda Mlingo? Sasa hivi ni mama na watoto wakubwa na bado anaita, siri yake ni kujitambuwa na kujitunza.

Ni yule Belinda Mgeni?yule ambaye kila siku anaturingishia bwanake wa kisambaa insta?
Kama ndiye nampata sana...ni kweli kajua jinsi ya kujintunza...
 
Ni kweli kabisa...tamaa ya pesa isituponze wadada tukasahau thamani ya utu wetu....
Nilikua nampenda sana Jokate...nimewahi kukutana nae akanipenda kwelikweli akataka nifanye nae kazi ya modeling lakini baada ya kutoka na mondi aiseee nilimshusha thamani sana....ilibidi nimuepuke kwa kweli...

Teeh teeh teeh mahusiano yao yakakufanya uache kufanya kazi?
 
Ni yule Belinda Mgeni?yule ambaye kila siku anaturingishia bwanake wa kisambaa insta?
Kama ndiye nampata sana...ni kweli kajua jinsi ya kujintunza...

Mimi namsema huyu alikuwa Marekani radio CiTR.
 
Attachments

  • 1415106637702.jpg
    1415106637702.jpg
    33.8 KB · Views: 127
nimemuona jana tv1
mzuri anajua kujieleza yaani
hawa celebrity wetu wangejua kujithamini wangefika mbali sana

Jamani leo nimeona marudio yake nikatoa ningejua....umbea umenipita hivihivi
 
Invisible tunaomba majibu mnataka tulipie sh ngapi ili muelewe kama uzi huu una vigezo vyote vya kuwa sticky?

Ni kweli kabisa, ni miongoni mwa uzi zilizokua kwa kasi kubwa bila ya kuzingumzia masuala ya siasa. Ni muhimu kuupa heshima yake uzi huu, ila kama kunatakiwa malipo waseme.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Miziki yake haichezeki, inafaa kumwimbia mpenzi chumbani tu, sisi tunataka kurusha rusha miguu kama michael jackson, mwambie aache kuimba kikwaya kwaya, ikishindikana awaige Yamoto ndio habari ya mjini ingawaje D,mond ndio baba lao.
 
Unataka ucheze kama gwaride la duiamond pale leaders au?kweli dushelele,Mwanadaresalama havichezeki??ama kweli kunya anye kuku akinya bata kaharisha!!
Anyways kama unataka kucheza nenda mtaa wa pili kuna watoto wanacheza kibaba na mama,utacheza mpaka usuuzike!!Na komborela pia
 
Huu ni ushauri kwa king kiba naamin unaelewa game ilivyo na nilazima heshima kwa mashabik kuwa makin sio keshokutwa unavimba na ww maskio ufalme ni cheo cha kurith alikuwepo mfalme kabla yako kaja domo kapewa kiti kashindwa tumemweka nje kwenye vistuli namaanisha maadili yako ushujaa na nidhamu na utunzi ndio vimekurudisha hapo kuwa makin ukiharibu unamfwata nyomo, long live the king.
 
Ni kweli kabisa, ni miongoni mwa uzi zilizokua kwa kasi kubwa bila ya kuzingumzia masuala ya siasa. Ni muhimu kuupa heshima yake uzi huu, ila kama kunatakiwa malipo waseme.
Ova

wanaogopa mtaa wa pili wataandamana
 
watu wanaomchukulia poa ali kiba wanafeli sana...sometimes wajiulize huyu kiba ana nini na kwanini?haiwezekani ngoma yake moja tu ya mwanadar es salaam ilete usumbufu hivi mjini!tena inawakosesha raha zaidi washabiki wa jamaa ambaye keshatoa ngoma nyingi sana wakati kiba akiwa hayupo active katika game!na huyo jamaa keshatumia mamilioni kuukuza music wake lakini ngoma moko tu yenye gharama ndogo kabisa iliyofanywa na man walter inaleta disturbances....
 
Back
Top Bottom