Hapo umenena mkuu!
Ushauri wangu Ally Kiba aongeze bidii katika kutawala jukwaa ili hadhira ishangweke!Pia video productions zake huwa haziendani na hadhi yake ofcourse ni mwanamziki bora bongo flavour wa kipindi chote so anatakiwa na video zake ziendane na ubora wake!
Ally Kiba nadhani una note huu ushauri somewhere wenzio isije ikawa tunatwanga maji kwenye kinu!!Amka Amka acha kuvaa nguo za kwendea matembezini stejini,engge active dancers wanaojua chereography hata kwa kuwa trained,toa nyimbo kwa wakati pia uwe tayari kuingia gharama za video zenye quality...alafu ivi kwani huwazi kufanya collabo na watu wa nje!!kuiga mazuri ni jambo jema.Nimeshari kwa mara ya kumi!na sitachoka mpaka ubadilike
Hahahahaaaa naona mtaa wa pili wameiga wazo letu la special thread....
please guys waacheni wafanye yao,nawaombeni sana nisiwaone kule kwa vyovyote vile hata Kiba akipondwa vipi...
Hop wote ni waelewa,tumeelewana...
Hahaha my nifah
Haya niambie hiyo kazi yako isiyokua na likizo/pumziko i mean weakend ni ipi?au mwenzetu usalama wa taifa nini?
Haaa hakuna aisee,nkitulia inabid tutoke mamaaa😛
Hahahahaaaa naona mtaa wa pili wameiga wazo letu la special thread....
please guys waacheni wafanye yao,nawaombeni sana nisiwaone kule kwa vyovyote vile hata Kiba akipondwa vipi...
Hop wote ni waelewa,tumeelewana...
Ipo wapi hiyo uzi maana nilikuwa naisubiri kwa muda mrefu.huku naona ujin.ga mtupu
Poa diaHahahaaa haya bwana...
ungezaliwa mwanamke km mimi sijui ungekuwaje llooohh!!
hahahaaa nilienda kuwapa ukwi sie hatunaga chuki wala ugomvi na team kudandia nyota za mademu
bila mademu no kick weraaaaaaa
matola uko wapi our herrrrrrooooooo
shoka moja mbuyu chini
kazi ipo mwaka huu