Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hapo umenena mkuu!
Ushauri wangu Ally Kiba aongeze bidii katika kutawala jukwaa ili hadhira ishangweke!Pia video productions zake huwa haziendani na hadhi yake ofcourse ni mwanamziki bora bongo flavour wa kipindi chote so anatakiwa na video zake ziendane na ubora wake!
kingine awe anaimba kwa vyombo nakumbuka kuna mwaka alishaimbaga kwa vyombo nimesahau hasa tukio lile sijui ni kili music au miss tz mtanikumbusha vizuri hivyo ni vizuri aendeleze ile tamaduni ya kuimba live band