Kuhusu collabo keshafanya na fally Ipupa (nilimsikia Mdakuzi na wengine wakisema)
Video ya mwana pia kaishoot nje...tuvute subira mambo mazuri yanakuja...
Inabidi utuletee kababy mitori utainywa kwa sana.Kwani na wewe upo dom
Umemjibu vema kabisa, itakuwa alisahau kama Kiba alishafanya wimbo wa R Kelly na wanamuziki wengine wa Afrika. Halafu kati ya wanamuziki wa Afrika, Kiba ndio aliimba sehemu kubwa. Asubiri goma alilofanya na Fally litoke.
Ova
Nop...mimi nipo dar mpenzi
Hahahaaaa na bado video haijatoka itakua sheedah nakuambia....
Hahahaaa nakuaminia sana Mdakuzi tatizo nawe upo busy sana jamani...kwani hilo box unalobeba (joking) halina likizo jamani...hahahaaaa
Hahahahaaa! Usijali box litashuka soon. Kweli, huwa namiss sana hapa, tumekuwa familia sasa inahitaji moyo sana kuwakosa. Nivumilieni wapendwa.
Ova
......Mpaka anadandi kahaba la Kiganda kutafuta kick, hivi huyu jamaa hawezi kutoa nyimbo bila bila kutafuta attention ya kuwatumia makahaba?
Mkuu Matola pengine ili kuboresha huu uzi ungekuwa unaweka Updates hapo Kwa mfano kama kuna show flani Alikiba anafanya au Events au hata akitoa nyimbo mpya hii itawawezesha mashabiki wake kujua yupo wapi na anafanya nini
Kabla ya updates kwanza flash back ya siku tuliyokata mzizi wa fitina, mtaa wa pili Tsunami lake mpaka Billionare wa Tandale kapewa talaka na Madame.
Unajua kuna tofauti kubwa sana kati ya kuimba na kuzungumza kwenye beat, Kiba anaimba, lakini Nassib anaongea tu kwenye beat. Kwa kuthibitisha hilo, isikilize Mwana then sikiliza Mdogomdogo.
Wanamuziki wasio na uwezo wa kutoka na nyimbo zinazogusa hisia za mashabiki mara nyingi husaka kick kabla ya kutoka. Ndio huwezi ona Chris Brown anatafuta kick kabla ya kuachia wimbo coz anajua kuandika na anajua kuimba.
Ova
Tuliza boli son, nyinyi kila kitu mnawaza fursa tu, kama ni swala la fursa tayari ninazo.
Binadamu tumewazoea wewe ndio walewale ukinipiga umenionea na ukiniacha umeniogopa.
kwani ni dhambi kuchangamkia fursa?!nawewe katafute fursa kama unadhan ni rahisi ivo
Nassib mwenyewe mnafiki tu,first time wakati anaanza mziki nakumbuka aliulizwa role modal wake ni nani akasema ni ne-yo...juzikati alivyohojiwa na karueche akasema ni chriss brown,sijui ni kujipendejeza ama nini...
Hahahaaaa haya mwaya nakumbuka uliniambia uko kwenye maternity...
So ingekua sio hope ungeenda kumsapoti king
Wewe nae mbona hakuniambiaga kama upo dom maana mie nimetoka huko leo si ningekuja na mie kulea?
Hiyo ni dalili ya kutojitambua, kwa maana ya kufuata tu upepo unavyokwenda. Nassib hajitambui.
Ova