Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Kuhusu collabo keshafanya na fally Ipupa (nilimsikia Mdakuzi na wengine wakisema)
Video ya mwana pia kaishoot nje...tuvute subira mambo mazuri yanakuja...
Umemjibu vema kabisa, itakuwa alisahau kama Kiba alishafanya wimbo wa R Kelly na wanamuziki wengine wa Afrika. Halafu kati ya wanamuziki wa Afrika, Kiba ndio aliimba sehemu kubwa. Asubiri goma alilofanya na Fally litoke.
Ova