Kura unapiga nyingi tu me Jana nimevote hadi wameniambia basi nitulie kwanza
Mkuu ukipiga kura wanakujibu
"""""thanks for voting""" na ndio kura pekee inayopokelewa
Unapopiga tena category hio hio wanakujibu
""""we have arleady counted your vote"""
hapo kura haihesabiki..
Vipi umesahau mwaka jana..
SEMA TU KUNA KITU KIMOJA
TEAM Kiba MNISIKIE KWA MAKINI EXPERIENCE FROM WAZEE WA KIMATAIFA
Unaweza kupiga kura mara 3 endapo uta tengeneza your own poll... hapo ndio mwisho wa kukusaidia
Labda ufanye kubadili kifaa unachotumia ila si kudelete data au kuchange browser
Last edited by a moderator: