Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Mie mbona nimeshavote? Tena asubuhi hii hii kwa kutumia opera min.
Hata mimi tayari dia sasa ni kutumia ujanja lazma nivote mara nyingi sikubali
 

Attachments

  • 1437458916507.jpg
    1437458916507.jpg
    14.7 KB · Views: 64
#KakaSketi mbona hivyo lakini? Hujamuona La Aziz wako Th Name au?
Au leo hujam miss?

Yani hizi dharau hizi hahaha

wamemfanya King rumbesa kujazilizia nominations best male hahaha ndio maana sishangai peter msechu kuwepo mwaka jana...

MWAKANI ZAMU YA BABA LEVO











MTANYOOKA TU DADADADADADEEEEKI!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Mashabiki wa mna raha kinoma mna kinomination kimoja kwenye tuzo moja ambacho mnajuwa tu cha dangote

WASAAAAFI SASA DAAAH
ni shiiida kinoma
.......AFRIMMA 7
.......AEA 2
.......NEA 1
.......UEA 1
.......ÀFRICAN ARCHIEVERS 1

iz equal to???????






QUIZ ataepatia jibu anapata vocha 20,000/=
 
Kura unapiga nyingi tu me Jana nimevote hadi wameniambia basi nitulie kwanza

Mkuu ukipiga kura wanakujibu

"""""thanks for voting""" na ndio kura pekee inayopokelewa

Unapopiga tena category hio hio wanakujibu
""""we have arleady counted your vote"""
hapo kura haihesabiki..

Vipi umesahau mwaka jana..

SEMA TU KUNA KITU KIMOJA TEAM Kiba MNISIKIE KWA MAKINI EXPERIENCE FROM WAZEE WA KIMATAIFA

Unaweza kupiga kura mara 3 endapo uta tengeneza your own poll... hapo ndio mwisho wa kukusaidia

Labda ufanye kubadili kifaa unachotumia ila si kudelete data au kuchange browser
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom