Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Kwani hapa kuna ubishi jamaniii?
hakuna ubishi. tunawait mda wa kupiga kura tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapa kuna ubishi jamaniii?
Hata mimi tayari dia sasa ni kutumia ujanja lazma nivote mara nyingi sikubaliMie mbona nimeshavote? Tena asubuhi hii hii kwa kutumia opera min.
hakuna ubishi. tunawait mda wa kupiga kura tu
Izi sio ktma unajua ilo?
Muda tayari mkuu vote uwiiii
Ngoja nikalete link
Utafurahi na shoo
fanya hivyo tufanye yetu mapema sana
Hivi hizo kura unaweza piga Mara ngapi kwa cku
Kura ni moja tu imetoka.....
nimeipata cute b
Kura unapiga nyingi tu me Jana nimevote hadi wameniambia basi nitulie kwanza