Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Afu oooh diamond ananjaa anafanya show za siasa, mara ooh mashabiki walienda kusikiliza hoja hawakumfata yeye
Vipi hii ya LE KING ZAMUNDAAAZ TABORA J3 naona ilikuwa kama mkutano wa kijiji mkaogopa hata kutujuza MZEE PORI alikuwa ana show hahahaha KWELI MMEISHA HATA TUKIMTUMA MOSEIYOBO NINAUHAKIKA WATU MARA 20 ZAIDI YA HAWA WATATOKEA
on set na supersport, interview ya #mchakamchaka
Jamani muwe mnatuwekea hizo link kila page maana sie wenzenu wavivu
[emoji6] [emoji6] [emoji6]
Pls pls Abou Saydou mdogo wangu achana na mwendawazimu, kwanini unapenda kujishushia hadhi yako lakini?Sasa hapo Kiba yupo wapi ?
Kiba j3 mbona alikuwepo Daresalam kwa man water anarekodi iyo Tabora alienda saa ngapi ?
Ah mie naona taabu tu...Basi ngoja nifanye hivyo.Khaaaaaaaaaaaa acha uvivu ipesti kwenye inbox yako
Wawe wanaweka kila page au pale mwanzo wa Uzi itarahisisha sana kaziAh mie naona taabu tu...Basi ngoja nifanye hivyo.
Umeona eeh? Wafanye hivyo bwana. ..Wawe wanaweka kila page au pale mwanzo wa Uzi itarahisisha sana kazi
Tena kwenye first page itakua rahisi huku sijui kutafta wapi kunakata stimu.Umeona eeh? Wafanye hivyo bwana. ..
Iko down sana hyo page I don't know why?
HahahaaaaaMwanzo mzuri kiba kaza buti, tunahitaj kuona wasanii wengi kimataifa, na ukitoboa huko inshallah usiwe selfish kama mnenguaji wa tandale.
Mkuu unahakikisha wanakuambia thanks for your vote lakini?
Yaani baada ya kuclick pale kwenye jina la King unaclick kwa pale chini yake mkono wa kulia kuna neno VOTE ndio unakua umeshapiga kura tayari.
Oukeeeeyyy, hayo ndio maneno sasa.Yah mkuu, look
Whaaaat? Hebu ngoja nikajionee mwenyewe kwanza ndio nirudi.Alikiba kufanya kolabo na Davido. Chanzo: millardayo.com/davidojuly21/
Alikiba kufanya kolabo na Davido. Chanzo: millardayo.com/davidojuly21/