Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Afu oooh diamond ananjaa anafanya show za siasa, mara ooh mashabiki walienda kusikiliza hoja hawakumfata yeye

Vipi hii ya LE KING ZAMUNDAAAZ TABORA J3 naona ilikuwa kama mkutano wa kijiji mkaogopa hata kutujuza MZEE PORI alikuwa ana show hahahaha KWELI MMEISHA HATA TUKIMTUMA MOSEIYOBO NINAUHAKIKA WATU MARA 20 ZAIDI YA HAWA WATATOKEA

Sasa hapo Kiba yupo wapi ?
Kiba j3 mbona alikuwepo Daresalam kwa man water anarekodi iyo Tabora alienda saa ngapi ?
 
Sasa hapo Kiba yupo wapi ?
Kiba j3 mbona alikuwepo Daresalam kwa man water anarekodi iyo Tabora alienda saa ngapi ?
Pls pls Abou Saydou mdogo wangu achana na mwendawazimu, kwanini unapenda kujishushia hadhi yako lakini?
Unakumbuka #KingKiba alituambia nini ile siku?
Naomba tuheshimu ushauri wake pls.
 
Last edited by a moderator:
Nimeenda naona iko down. ..Jamani Kiba fans acheni mabalaa yenu, kila anakochaguliwa King mnaenda kuharibu.
Hao KTMA tu walituvukia kofia, halafu kuna mamburula yanashangaa #KingKiba kubeba tuzo 6 out of 7...
#TulichafuaKwaKuraZaMafuriko
cfeb64c42f00fe05dcfb4942eaecab36.jpg
 
Mkuu unahakikisha wanakuambia thanks for your vote lakini?
Yaani baada ya kuclick pale kwenye jina la King unaclick kwa pale chini yake mkono wa kulia kuna neno VOTE ndio unakua umeshapiga kura tayari.

Yah mkuu, look
 

Attachments

  • Screenshot_2015-07-21-18-35-47.png
    Screenshot_2015-07-21-18-35-47.png
    13.7 KB · Views: 123
Back
Top Bottom