Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

kunajiri nini jamani humu? i was sooo busy today jaman kumbe tulitembelewa na majirani? Thats y i love you guys response yenu imenihamasisha, guuud go go go go kiba, kiba mstaarabu na mashabiki wake pia wastaarabu, tuko nawe miaka miaa, nifah mimi mithi wewe

Mithi you tyuu babe...where were you?
 
Last edited by a moderator:
hii complimentary jamani, cpati picha nikiipata

Hahaaaa shoga wewe acha tu,nani asiyetaka hiyo kitu jamani?uwiiiii chezea Matola mutoto ya mujini wewe....he is so creative nategemea mengi zaidi...
Kiruuu sipati picha angekua mpinzani jamani ningekufaje mimi?
 
Last edited by a moderator:
Mithi you tyuu babe...where were you?

kazi hizi jamani, huku naona mambo yamenogaa, watu wanachachawa hata hawajielewi, kiba noma aisee watu moja haikai mbili haisimami basi taabu tupu
 
Twajenga nyumba moja ya nini kugombea fito?ataepata bahati yake,ila sijui barabara ya pili hawataiga!!najiuliza kwa kuwaza.

Ati nini?thread waliiga maana kuanzisha ni bure chezea offer ya bundle ya mwezi wewe?nani wa kutoa pale?chinga???au huduma?
Wote wachovu tu...kiruuuu watanunaje sasa?
 
hahahaaaaaaaa fanya uchukue mine

ngoja nijitahidi maana naona mpaka wa mtaa wa pili wanaitaka hii wamekuja kukaba penalt huku, mpaka kuna watu hata siwaelewi mara waadmit kiba ni noma mara wakatae, jamani kwani wameshikiwa mtutuuuu, kubalini tu kiba ni mkaliii maana huo ndio ukweli
 
kazi hizi jamani, huku naona mambo yamenogaa, watu wanachachawa hata hawajielewi, kiba noma aisee watu moja haikai mbili haisimami basi taabu tupu

Wewe acha tu leo nimecheka balaa
 
ngoja nijitahidi maana naona mpaka wa mtaa wa pili wanaitaka hii wamekuja kukaba penalt huku, mpaka kuna watu hata siwaelewi mara waadmit kiba ni noma mara wakatae, jamani kwani wameshikiwa mtutuuuu, kubalini tu kiba ni mkaliii maana huo ndio ukweli

Wanajaribu kuupindisha ukweli jamani...huku kimoyomoyo wanamkubali...
Kuna siku nilimuona mtu anamponda Kiba eti ana sauti mbaya anashangaa tunavyomsifia nilicheka sana,sasa the king of r&b dunia nzima alishangaa na kuisifia kwelikweli yeye akimponda ni nani?anaujua mziki kuliko R.Kelly?chuki zinaua jamani
 
hahaaaa! yaani wanafujo hao na zipo damuni, basi kazi kuhahaa tuu kutafuta balaa, kweli nimeamini ukitembea na mwizi nawe lazima uwe mwizi
 
Ati nini?thread waliiga maana kuanzisha ni bure chezea offer ya bundle ya mwezi wewe?nani wa kutoa pale?chinga???au huduma?
Wote wachovu tu...kiruuuu watanunaje sasa?

Hela ya ualimu chinga anunue bundle ya mwezi!!thubutu yake mwenyewe boxer ikamberebete huko..
 
Ati nini?thread waliiga maana kuanzisha ni bure chezea offer ya bundle ya mwezi wewe?nani wa kutoa pale?chinga???au huduma?
Wote wachovu tu...kiruuuu watanunaje sasa?

Naongeza offer sasa hivi niko Kinondoni pembeni ya ubalozi wa Ufaransa kuna pub nyingi hapa nyuma ni Leaders Club pale alipozomewa Domo karibu na ofisi za NIDA, kama kuna fans wa Kiba yuko maeneo haya anijurishe tule weekend pamoja, ila saa tatu na nusu naondoka hapa.

Nb: Fans nyinyi ndio mtaniambia nani ameshinda, hapa hakuna upuuzi kama wa Le Tamkozeee!!
 
Ha ha ha!!,naona Matola upo karibu na eneo la kihistoria alipozomewa mwafulani,yani that area ni his worst nightmare!!Hapo ulipo nadhan Chinga keshachukua bodaboda kuja kula vya bure,mpe tuu
 
Wanajaribu kuupindisha ukweli jamani...huku kimoyomoyo wanamkubali...
Kuna siku nilimuona mtu anamponda Kiba eti ana sauti mbaya anashangaa tunavyomsifia nilicheka sana,sasa the king of r&b dunia nzima alishangaa na kuisifia kwelikweli yeye akimponda ni nani?anaujua mziki kuliko R.Kelly?chuki zinaua jamani

yaani km namuona vile wakati anaandika hivyo huku kimoyomoyo anasema eeh Mungu nisamehe kwa huu uongo ninaoandika ilihali nikijua ni uongo", hapana chezea kiba wewe
 
ngoja nijitahidi maana naona mpaka wa mtaa wa pili wanaitaka hii wamekuja kukaba penalt huku, mpaka kuna watu hata siwaelewi mara waadmit kiba ni noma mara wakatae, jamani kwani wameshikiwa mtutuuuu, kubalini tu kiba ni mkaliii maana huo ndio ukweli

hahahahaaaaaaaa
 
Ha ha ha!!,naona Matola upo karibu na eneo la kihistoria alipozomewa mwafulani,yani that area ni his worst nightmare!!Hapo ulipo nadhan Chinga keshachukua bodaboda kuja kula vya bure,mpe tuu

nini boda anaona km inamchelewesha, kashikilia ndala mkononi akatimka na akifika utashangaa anajitambulisha yeye nifah
 
Back
Top Bottom