Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nasikia audio mbovu ila video nzuri .
Kweli ila wimbo....mhhh ngumu kumesa...
Nilikua naangalia video tu sielewi anaimba nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia audio mbovu ila video nzuri .
nimekuelewa ila mi yeyote kwa kweli ntafurahi sana sina kinyongo ht na mmoja
Mhhh vipi ukibahatika wewe mwenyewe?....lol
Complimentary itaenda kwa aliyepost next post. Mimi sihusiki.
Kinyongo cha nini?sisi dugu moja,familia moja atakayepata hongera zake siku zinaenda
Kinyongo cha nini?sisi dugu moja,familia moja atakayepata hongera zake siku zinaenda
Maneno ya kukata tamaa haya,na inaonekana una stres wewe ha ha ha haya hongera wewe mwenye swaga za ujana.Ujue Matola huyo jamaa muanzilishi wa thread ya mtaa wa pili namuonaga ana swaga flani hivi za kizee ndio maana hua sitaki kubishana nae kabisa....heshma kwa wazee ipewe kipaumbele jamani
kiba hashindani ila anashinda yaani magoli ya mbali ya bila zoezi kimbiza hao mpaka wApitilize kwao.mwenyekiti amekalia kiti chake single moja wamepiga kelele laki moja
Jamani?naona wa mtaa wa jirani anataka kushinda Complimentary!!mhuuu nimemstukiaaa!!Laziiiima wajeee,na hii igeni!!
Twajenga nyumba moja ya nini kugombea fito?ataepata bahati yake,ila sijui barabara ya pili hawataiga!!najiuliza kwa kuwaza.
Jamani?naona wa mtaa wa jirani anataka kushinda Complimentary!!mhuuu nimemstukiaaa!!Laziiiima wajeee,na hii igeni!!
HaA waige basiii...hapa lazima wajeee!hahahahaaaaaaaaaaaa
Mhuuu!!yani mie mwenyewe naitamaniiii...hata Chinga anaitamani we utamwona tu
Mhuuu!!yani mie mwenyewe naitamaniiii...hata Chinga anaitamani we utamwona tu