Ali Kiba Fans' Special Thread...

Wewe acha tu, juzi kuna mtu aliandika utumbo nikamchana basi nashangaa comment yangu ikafutwa.
Hili jukwaa la maselebu naona wanataka hao maselebu ndio wawe wanashiriki sisi tukae kimya.

Yaan hamna kitu kinaboa kama hicho yaan.
Ila sasa hivi naona wamepunguza washaanza kuelewa.
Ila mwanzo duu ilikuwa ni hatareee
 
Leo sipo kibattle nasherehea mzee wa maamuzi magumu. Avatar hyo ni dogo anaitwa Silento I recommnd u to go youtube en chek hz video you gonna lov it. Silento - Watch Me
Utanipa "feedback"

Mzee wa maamuzi magumu ni nani?
 
Kumbe unamaanisha jembe lowasa.
Nimefurahi sana lowasa kuja ukawa.
Tunaweza tukabeba nchi nipewe hata ukuu wa mkoa au wilaya.

Hahaha safi ila hapo kwenye ukuu wa wilaya au mkoa mh" umejiandikisha lkn?
 
Nimechoka kwakweli maana comments zangu zinafutwa kila wakati.
Huko siasani nadhani watanipumzisha.
Yani kuna siku tulipigwa ban kisa tuliuliza kwanini comments zinafutwa. Pole sana mi ndo mana nakupendaga siasani na MMU hamna uu ujiñga.
 
Naomba namba ya alikiiba...kwa mwenye nayo..i will make him rich..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…