Ali Kiba Fans' Special Thread...

Habarini, ninamuda sijapita humu nipo kwenye siasa. Nashukuru kuona kuna amani na utulivu sasa. Ni imani yangu sasa watu wamenyooka na tunazungumzia umoja zaidi kama nchi.

Kila la heri, tukumbuke kujiandikisha ili tupate kichinjio cha Octoba 25.
 
Sasa hivi tumeungana tunaongelea mambo ya maana zaidi, huu upinzani wetu wa jadi tumeuweka kando kidogo hadi November.
 
Sasa hivi tumeungana tunaongelea mambo ya maana zaidi, huu upinzani wetu wa jadi tumeuweka kando kidogo hadi November.

sasa hivi ni lowasa kwanza, huku tunapita mara mojamoja, tukutane october 25
 
Jamani mmeiona Churchill Show ya King Kiba huko YouTube?
O.M.G! Nimemvulia King kofia....ana sauti nzuri mnoooooo.
Dah, huyu mtu hana mpinzani kwakweli.
Hongera zako Kiba, Allah kakutunuku kipaji cha kipee, kitumie kutupa raha sisi mashabiki wako wa damu.
 
kiba hatari hiyo show niliiona dah!, kwani nifah wewe si una access ya kuonana na kiba
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…