Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nampenda sana king mpaka Nanchanganyikiwa ..

Hunizidi mimi maana jana kidogo niingie aibu, nilikua sehemu ya heshima mara mwana ikapigwa...
Uwiiiiii! Nilidata kidogo ninyanyuke kwenye kiti niserebuke!
 
Hunizidi mimi maana jana kidogo niingie aibu, nilikua sehemu ya heshima mara mwana ikapigwa...
Uwiiiiii! Nilidata kidogo ninyanyuke kwenye kiti niserebuke!

sipati picha fally angepita mule ingekuwaje
 
Sasa Kama Ana izo 175 million mbona bado yeye na familia yao inalelewa na sugar mummy ambae yupo uingereza katika basic needs
siyo 175m tu?more than that.....ally namjua mimi si wa katika media...nakupa homework!...ulizia ally alivyokuwa hasikiki kwenye media alikuwa anaishi maishi yapi?........ogopa sana damu za watoto wa ilala na kariakoo ambao kuna chocho flani walishazigusa!....ally tunamuona instagram na mafacebook kwakuwa imebidi tu ila siyo mitkasi yake yeye na hata wanae wa dhati.....hilo balaa lililofanyika juzi ambalo lilimlazimu aje bongo one time kutoka kenya kuvuta hizo million 20s nna hakika wangekuwa watu wa perepete hao wanae, mzizima ingesimama!ila watu kimyakimya kama hakijatokea kitu
 
king kibaaa akichekesha katika kampeni za ccm mtwara na morogoro
 
Natumaini hatumi madawa ya kulevya
 

Attachments

  • 1441778188266.jpg
    63.1 KB · Views: 122
Huu uzi umekuwa mchungu kwangu zaidi ya shubiri....
Pia nikifikiria machungu niliyoyapata baada ya dada yangu kipenzi #Avemaria kunitumia pm ya kuniaga nazidi kuuchukia huu uzi!
Tukutane November huko labda.
Anaenda wapi @avemaria tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…