Ali Kiba Fans' Special Thread...

Huu uzi umekuwa mchungu kwangu zaidi ya shubiri....
Pia nikifikiria machungu niliyoyapata baada ya dada yangu kipenzi #Avemaria kunitumia pm ya kuniaga nazidi kuuchukia huu uzi!
Tukutane November huko labda.

Duuuh nimejikuta nasikia huzuni.
Be strong mamy..
Kwani ni nini kimempata?
 
Duuuh nimejikuta nasikia huzuni.
Be strong mamy..
Kwani ni nini kimempata?

Sababu kubwa nahisi ni kufutiwa comments zake maana alishanilalamikia sana nikamuomba ajikaze lakini naona imekuwa too much hadi akaona bora ajiondokee zake.
Nasema nahisi sababu wakati ananitumia hiyo PM ya kuniaga mimi nilikuwa sipo JF almost 2 weeks.
Asante sana cute b,hakika inauma sana.
 
Last edited by a moderator:

Duuu pole sana mpnz na mimi nimeumia duuuuh.
One day yec
 
Last edited by a moderator:
Duuu pole sana mpnz na mimi nimeumia duuuuh.
One day yec

Kiukweli mods wanakera sana,kama mimi wamenifutia comment yangu niliyoponda utafiti wa TWAWEZA.
Kama sio nina mambo yangu mengi humu ningeihama JF tu na mimi maana sio baba wala mama yangu!
 
Huyo itakua kaolewa halafu mume wake kamwambia asitumie social networks#assumption hiyo [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Acha hizo wewe,kama ingekuwa hivyo asingeacha kuniambia.
Sababu yake kuu ni kufutiwa comments basi!
 
Kiukweli mods wanakera sana,kama mimi wamenifutia comment yangu niliyoponda utafiti wa TWAWEZA.
Kama sio nina mambo yangu mengi humu ningeihama JF tu na mimi maana sio baba wala mama yangu!

Dawa ni kujidai kipofu dear... ukiwafuatilia hawa wanakugeuza kitololi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…