Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahahaaa kama wewe umeweza kuipata unadhani mimi kitanishinda nini?
Huyo Kiba mbona nafahamiana nae?Acha hizo wewe.
George Betram
 
Wewe si upo team Mondi.... kwa Kiba umehamia lini?
Nitake radhi haraka sana kabla Ali Kiba hajaona hili swali lako la kipopoma.
Najua unanichokoza tu ila ngoja nikujibu kwa faida ya wengi....
Mimi sio shabiki tu,bali ni mpenzi (sio kwa maana nyingine pls) wa Ali Kiba.
Na nitakuwa upande wake nikimsapoti na kufurahia kazi zake MILELE!
 
Ogopa sana wanaotumia shoto
Hawa ni baadhi ya Lefties

Alikiba
Aristotle
Angelina Jolie
Albert Einstein
BARACK OBAMA
Bill Gates
Brad Pitt
Celine Dion
Eminem
Justin Bieber
Lady Gaga
LeBron James
Leonel Messi
Mahtma Ghandi
Marie Curie
Manny Pacquiao
Oprah
Rafael Nadal
Sylvester Stallone
 
Kumbe Ali Kiba anatumia shoto?Kuna siku niliona sikutilia maanani nikidhani nimekosea.
 
Mkuu tupia pia orodha ya wanaotumia kulia ili kubalance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…