Uzuri wa Alikiba akikutolea wimbo mpya basi ujue kila kitu kitakuwa kipya kabisa. Huwezi kufananisha chochote na nyimbo zilizopita.
Uimbaji mpya, maneno ya wimbo mapya na hata idea ni mpya. Alikiba anaimba na kufundisha kutayarisha nyimbo na kuimba.
Aje ni next level wakuu, ukisikiliza mara moja tu inakukamata mazima. Ni bonge ya ngoma, halafu ya miondoko flani hivi.
Video ndo imekomesha kabisa, sijui wapiga mavuvuzela watasemaje tena na hii? Alikiba anazidi kunipa sababu za kifurahia kuwa Mtanzania.
Ova