Mkuu wewe mpenda mziki mzuri safi sanaMi wote nawasapoti kiba akitoa ngoma kali napongeza.
Diamond akitoa ngoma kali namsapoti..
Kiba akiharibu sisiti kusema kaharibu
Diamondi akiharibu sisiti kusema kaharibu.
Japo kuwa nime jikita zaidi kwa diamond ila nyimbo za alikiba kama aje na nyinginezo hazikosi kwenye album list yangu.
tuache timu hazijengi.
Asee kweli kabisa ,,wanakupa bila shida bila maswaliWimbo wa king unaweza kwenda kuombea mkopo benki ila huu wa Chai jaba kiukweli akaushindanishe a ule wa Saida Karoli.
Hahaha kabisaaa"Msema kweli ni mpenzi wa Mungu" in JPM's Voice!!