sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Mkuu wewe mpenda mziki mzuri safi sanaMi wote nawasapoti kiba akitoa ngoma kali napongeza.
Diamond akitoa ngoma kali namsapoti..
Kiba akiharibu sisiti kusema kaharibu
Diamondi akiharibu sisiti kusema kaharibu.
Japo kuwa nime jikita zaidi kwa diamond ila nyimbo za alikiba kama aje na nyinginezo hazikosi kwenye album list yangu.
tuache timu hazijengi.