Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #161
Kujipendekeza nako ni wito. Mimi vile siwezi kabisa
Mkuu ni nini hasa sababu ya Ally Kiba, msanii mkali wa masauti kukaa kimya kwa muda mrefu lakini akarudi kwa shinikizo kutoka kwa Diamond Platnumz?
Je, unadhani kwamba Diamond asingekuwepo leo basi Kiba angelikufa milele kimuziki?
Asante!
Mpo kuongeza page safiiiii
Mkuu sule, kujirembe ndio nini? Tuliza munkari kidogo ili uandike ueleweke
Loh!!!!shoga angu dizaini sikuelewi jamani...hivi kuna mtu ambaye huwa anamponda ndomo huku kama wewe?imekuwaje tena???
Honestly sikulazimishi wala kukupangia mtu wa kumshabikia...Kweli mtu unayempenda unaweza kumponda vile???
Unazijuwa level wewe?
Wanazivalia wapi mbona mimi sizioni kitaa? Au ni night dress?
Dinazarde ebu tupishe apa usituaribie mood na ndomo wako, mbona wakat anazomewa pale leaders ukumtetea? Siku izi nipo busy maana nimepewa cheo na kiba kusimamia new project ya team kiba kwa hiyo please binamu usinipotezee ugali wangu, oooh , wenzio kuna bonge la project tunafanya yani itakuwa ni bonge la surprise , nadhan team domo kubwa mtaugua ebola ghafla
View attachment 195416
Hizi level watu hawafiki kwa kubebwa bebwa, inahitajika bidii kujituma pia nidhamu.
Kiba atasubiri sana kufikia level hizi.!
Jamanh huu umbea unanipita utadhani nipo station ya mwakanga treni la express halisimami, nitupieni jina hata pm twende sawa.
Jamanh huu umbea unanipita utadhani nipo station ya mwakanga treni la express halisimami, nitupieni jina hata pm twende sawa.
hizi juhudi siyo bure nalizima mnalipwa nyie hahahaha but I like mnavyobishana
Kimya kingi kina mshindo, halafu Mrembo by Nature jioni unahitajika jukwaan, unajua nimemis umbea? Halafu nina maubuyu had naumwa, siku izi akina Dinazarde siwaoni au ndo mmeshaacha umbea nitafute wakala wengine? Maana siku izi naona mnajifanya hampendi umbea kabisa ooh
Et mwana dar es slam na hvi huyo jamaa yenu amekuwa mzalamo toka lini kwann asijiite mwana kigoma au ndo utumwa wa kukukana uliko toka
Jipapase utaona nimekurushia kikaratasi kwenye mfuko was koti ulovaa
He hivi ulisikia kwamba watu wana kesi ya kuvaa magwanda ya jeshi bila kibali na tale alokamatwa? Ney was mitego ndo alitomboka
Anaitwa Bikira_wa_Kisukuma....nenda instagram um search kama nilivyoandika utamuona
Jipapase utaona nimekurushia kikaratasi kwenye mfuko was koti ulovaa
He hivi ulisikia kwamba watu wana kesi ya kuvaa magwanda ya jeshi bila kibali na tale alokamatwa? Ney was mitego ndo alitomboka
jamani team daimond anzisheni uzi wenu tafadhali
nyie mnateam kibao huko ig
uzi mmoja tu wa kiba unawatoa roho
so btn two of us nani ana roho mbaya?!!
Kuna point gani hapo ya mimi kuelewa???Diamond anataka kushushwa na nani??Agenda hapa ni mpango mkakati wa sisi fans wa Kiba kuvaa tshirt yake ili kushow support kwake.....ina uhusiano gani na kushushwa kimuziki diamond.
Kwanini utumie nguvu nyingi kulazimisha kuwa sisi tuna chuki binafsi na Diamond??Wewe na fans wa Dai fanyeni yenu na sisi tufanye yetu.
Huwezi kunishawishi kumpenda Dai as kuna wasanii wengi tu wakuwapenda akiwepo Kiba na wengineo.