el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
Jamani special thread ya mfalme hii hata kutupiemo tupicha mmegoma?
Kwakuwa na wale washabiki wa domo tunao humu wanatupetipeti basi na wao sintowasahau.
hivi R kelly alikataa kupiga nae picha hahahahahahah
unapomuita mfalme uspecify ni mfalme wa nini, usikute ni mrithi wa mzee yusuph katika masuala ya Taarab