Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaaaa usinikumbushe hiyo zawadi kutoka kwa Mungu jamani nilikua nimeshasahau....

Mungu hachezewi, akatoa pigo takatifu watu wanaweweseka hawajui wapi pa kutokea.Kazi yao iliyobaki ni kutapatapa na kuzushia watu kwenye anguko lao.
 
Kuna mtu nataka kumu Arrest hapa......amempa demu halafu mwanafunzi flagly atolee mimba.Huyo mtoto ameshakunywa vidonge 4,me npo ndani hapa nawasikia wakiongea.

Vipi miss?umeshamuarest au bado?
 
Naona kwa upande wa mfalme kiba akidi imepatikana, tena zaidi ya tulivyotarajia.
 
Duu naona ni mtifuano mkali hapa!
Mimi nahitaji wote Diamond na Alikiba waendelee kubaka kwenye peak na waendelee kuwapa burudani wanao wapenda!

Lakini tusikubali mmoja kati yao kuporomoka kimziki bali tuhakikishe wote hawapotei kwa kuwashauri chakufanya kwenye muziki wao na si kuwakatisha tamaa!

Mimi naamini kabisa Alikiba hajafurahishwa na kuzomewa kwa Diamond na wala Diamond hawezi kufurahi Kiba kuzomewa Bali huu ni mtifuano wa Mashabiki tuu!

Me ningependa zaidi ili jambo kama lingekuwa la kibiashara zaidi na Diamond na Kiba wakapiga hela ... unaonaje inaandaliwa live show ya Diamond na Kiba pale Leaders Club na kiingilio kinakuwa 20,000?

Sitegemei Diamond kukata tamaa kwaajili ya ile zomezomea au Kiba kubweteka kwaajili ya zile shangwe bali wote wanatakiwa kukaza buti!

Mimi huu upinzani wa Kiba na Diamond napenda uendelee ili uwape changa moto kwenye kuboresha muziki wao na wasibweteke lakini sipendi watu wafikie kutoana macho kisa D au A!

Mi nafikiri ni wakati kwa Alikiba kuji brand kama msanii kama mwenzie Diamond anavyo Fanya!

Kuanzia mavazi na hadi maandalizi kwenye show zake na wote waache play back!
.........

Nimepata nafasi ya kusikiliza wimbo mpya wa Mwana FA feat Alikiba -Kiboko yangu.
Hakika Alikiba ana sauti nzuri sana kapiga zinga la chorus...duuu hatari
 
Hii thread imefika hapa kwa msaada wa Dimond platnumz..

Hebu toka hapa bwana najua unatuchokoza ili tutoe maneno machafu hii thread ifungwe.....tumeshakushtukia wewe ulisema ooh itakosa watu....yako wapi???huamini macho yako
 
The king himself is back, dah aiseeeh , si wanasema tulikodishiwa ma coaster tukazomee? Sasa ivi tutakidi helicopter kabisa tuwatupie mabomu manina zao, wakiona mfalme kiba anapiga show sehem ndomo akae mbali akashindane na wacheza viduku wake uko tandale

binamuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
I'm in...

Ali Kiba anaujua muziki...No vocalist mzuri sana..Na anaweza kufanya live performance bila hata msaada wa CD, ie play back...Pia analitendea haki jukwaa..

Cha msingi aongeze bidii, asibweteke na asikae kimya sana kutoa nyimbo mpya...

Zaidi ya yote kijana anajiheshimu na anawaheshimu mashabiki wake...

Forza Ali Kiba....

Nimefarijika sana kukuona hapa mkuu wangu Le Legendary.

Kweli Bala always here.
 
kwani alivyosema amekuja kuchukua kiti chake alimpaga nani amshikie???

Alisema amekuja kuchukua kiti chake alichokiacha muda mrefu hadi kikawa na vumbi sasa karudi kukifuta akikalie maana kimekosa mtu stahiki....
Ni wapi alikosema anakuja kumnyang'anya mtu kiti chake???
 
Naona kwa upande wa mfalme kiba akidi imepatikana, tena zaidi ya tulivyotarajia.

Kiulaiiiiini kabisa...hivi unaanzaje kumchukia Kiba jamani???akikuangalia na ile sura yake ya upole lazima uone aibu...
Watu wana roho ngumu jamani!!!!
 
Mungu hachezewi, akatoa pigo takatifu watu wanaweweseka hawajui wapi pa kutokea.Kazi yao iliyobaki ni kutapatapa na kuzushia watu kwenye anguko lao.
Hahaaahaha kweli God is Great...usitaje hovyo jina la mungu wako....
Upo??? el Nino wewe ndie uliyemponza mwenzio
 
Last edited by a moderator:
I'm in...

Ali Kiba anaujua muziki...No vocalist mzuri sana..Na anaweza kufanya live performance bila hata msaada wa CD, ie play back...Pia analitendea haki jukwaa..

Cha msingi aongeze bidii, asibweteke na asikae kimya sana kutoa nyimbo mpya...

Zaidi ya yote kijana anajiheshimu na anawaheshimu mashabiki wake...

Forza Ali Kiba....

Hakika Ali Kiba ni mtu makini wa watu makini...ahsante sana mkuu kwa kutuunga mkono sisi mashabiki wenzako
 
Back
Top Bottom