Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiba yupo wapi sasa jamanii
umemaliza.......!!!!!
haya tuma salaam kwa watu watatu usiowajua!!
Hahahaaaaa usinikumbushe hiyo zawadi kutoka kwa Mungu jamani nilikua nimeshasahau....
hahahahaaaa paula bwan umeambiwa kiba anataka kiti cha domo!!???wapi na lini..kwan kivp!
Kuna mtu nataka kumu Arrest hapa......amempa demu halafu mwanafunzi flagly atolee mimba.Huyo mtoto ameshakunywa vidonge 4,me npo ndani hapa nawasikia wakiongea.
kwani alivyosema amekuja kuchukua kiti chake alimpaga nani amshikie???
Hii thread imefika hapa kwa msaada wa Dimond platnumz..
The king himself is back, dah aiseeeh , si wanasema tulikodishiwa ma coaster tukazomee? Sasa ivi tutakidi helicopter kabisa tuwatupie mabomu manina zao, wakiona mfalme kiba anapiga show sehem ndomo akae mbali akashindane na wacheza viduku wake uko tandale
I'm in...
Ali Kiba anaujua muziki...No vocalist mzuri sana..Na anaweza kufanya live performance bila hata msaada wa CD, ie play back...Pia analitendea haki jukwaa..
Cha msingi aongeze bidii, asibweteke na asikae kimya sana kutoa nyimbo mpya...
Zaidi ya yote kijana anajiheshimu na anawaheshimu mashabiki wake...
Forza Ali Kiba....
Sikuoni shost kwani hujaiona hii thread jamani???njoo kuna watu wanaleta shombo huku [MENTION=31246]Mnyaki[/ DADA
kwani alivyosema amekuja kuchukua kiti chake alimpaga nani amshikie???
Shangaaaaaaaa.....mimi ni miss strong a.k.a bantu figure!!
Naona kwa upande wa mfalme kiba akidi imepatikana, tena zaidi ya tulivyotarajia.
Hahaaahaha kweli God is Great...usitaje hovyo jina la mungu wako....Mungu hachezewi, akatoa pigo takatifu watu wanaweweseka hawajui wapi pa kutokea.Kazi yao iliyobaki ni kutapatapa na kuzushia watu kwenye anguko lao.
Kiba anavyopandishwa kinguvu atashuka kama ghorofa la TB Joshua.