Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ivi hamuwezi kutetea hoja zenu bila shombo na uchawi!!yani nyie team nani sijui,plz uzi huu ni kwa ajili ya kujenga sio kumbomoa Kiba wenu!mmekuja na mitusi yenu!viroba vimewalewesha!na sitaki mazoea nawewe mwenye matusi!!
 
Heeee taratibu mama,nimesema sura ya upole...suala la kubemenda linakujaje???
Anyways...mimi ni mtu na ndoa yangu sina time na Kiba wala mwanaume yeyote yule zaidi ya mume wangu...upo???usidhani ushabiki wangu kwa Kiba ni wa kimapenzi...akaaah

haaa??? kumbe umeolewa?? alafu unamlegezea sauti kiba hivihivi tena hadharani??? niitieni mume wa nifah jamani apite hapaaa, lazima leo mtu apewe ban ya ndoa, uuuuuwiii, i cant went, embu soma tena ile post yako, eti unaanzaje kumchukia kiba jamani?? AKIKUANGALIA NA ILE SURA YAKE YA UPOLEE, yaani hapo pa AKIKUANGALIA kama nakuona na macho ulivyolegeza, uuwii uuwii uwiii mume wa nifah pita hapa umulike mwizi meeeen kiba will ruin your marrage soon.
 
Hhhhhhaaaaa
 
Jifunze kuandika kwanza
Marrage= Marriage.
 
Hahahaaaaaa nimechekaje sasa???
Sura ya upole ni nini hasa jamani hadi ikuume hivyo kidogo ikutoe roho???mbona baba yangu pia anayo?
Alafu huyo Kiba usidhani namshobokea hata kidogo mama...mara kibao naonana naye coco beach wala simsemeshi...
Hahahaaaa uwiiiiii,Kiba ana nini hasa kumzidi hubby angu???poleee bibi
 
let it go turudi kwenye kupiga madebe mwaya, umesema kiba anasura ya upole embu tufafanulie sura yake ya upole inahusika vipi na mziki sasa au unamaanisha tumuonee huruma sijaielewa point yako hapa.
 
Umuonee huruma wewe kama nani???umesikia anaitaka huruma yako?kwanza hebu tuache bwana tumjadili Kiba wetu hii sio sehemu ya kubishana bali ni sehemu ya kujadili ni jinsi gani tunaweza kum support Kiba sisi mashabiki wake hapa JF....
Nahisi mwalimu wako alipata shida sana maana unachanganya mambo vibaya sana
 
jichekee zako mwaya, maana humu ndani kuna watu wanasubiri kiba ahit wambemende wanadhani nae atavuta mkwanza mrefu kama mondi kirahisi rahisi tuu, wanunuliwe murano.

Kumbe na wewe ni mshamba wa magari mamii?hadi umri huo ulionao hujawahi kumiliki lako mwenyewe???
Inaelekea unatamani kuhongwa kweli kama boss wako wema...looh
 
Hahahaaaaaa nimechekaje sasa???
Sura ya upole ni nini hasa jamani hadi ikuume hivyo kidogo ikutoe roho???mbona baba yangu pia anayo?
Alafu huyo Kiba usidhani namshobokea hata kidogo mama...mara kibao naonana naye coco beach wala simsemeshi...
Hahahaaaa uwiiiiii,Kiba ana nini hasa kumzidi hubby angu???poleee bibi

anataka umpende yeye!!
 
duuuh!!! vya hivyo tena?? nijikute nimependwa na KE mwenzangu, nitatokaje ndukiiiiii

Toka wameanzisha uzi sijaona ushauri zaidi ya wanataka wapige dili la tisheti kwa kutumia jina la kiba hhhhaaaaa
 
. Achana naye,anataka kukutoa kwenye mada ya msingi!anataka kiki

Nashangaa pilipili wasiyo ila ina wawasha nini ha ha hawana haja ya kuja kuponda hapa inaonyesha wamekosa peace of mind talking about kiba ni kujifariji
 
. Achana naye,anataka kukutoa kwenye mada ya msingi!anataka kiki

Usijali mamii,niko imara nalitambua hilo...kama nimeweza kumpotezea yule babu mwenye mdomo kama feri huyu hanipi shida
 
Sisi mashabiki wa Ali Kiba hatutaki magazeti yenu humu, uzi huu maalumu kwa King wetu na sisi fans wake.Kwenye uzi huu hatuhitaji matusi yenu. Please please vitorondo hatuhitaji matusi humu.
 
Back
Top Bottom