Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Noma kwa Wema......
Hhhhhaaaaaaaaaaaaaa kimuziki si kiutombaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma kwa Wema......
Hhhhhaaaaaaaaaaaaaa kimuziki si kiutombaji
Hhhhhaaaaaaaaaaaaaa kimuziki si kiutombaji
[/IMG]Kupiga kura hampigi kazi kuja kupiga kelele humu...haya sasa ndomo wenu keshaikosa tuzo wamechukua sauti soul
Hee! Kumbe kuna kajukwaa ka wakubwa kameanzishwa huku?
Hhhhhaaaaaaaaaaaaaa kimuziki si kiutombaji
Dina please najua hizi ni hujuma ili thread yetu ifungwe..
Na kiba keshakosa mara ngapiiii nampenda kiba mie ananisikitisha kweliii anavyolala lala wenzie wanaitwa kushindania tuzo
Na kiba keshakosa mara ngapiiii nampenda kiba mie ananisikitisha kweliii anavyolala lala wenzie wanaitwa kushindania tuzo
Mama hao ndo magumegume yaloshindwa na mtume hutowaweza!kwa mtindo huu Kiba ikitokea akaja aje na vifaru la sivyo atachanganyikiwa na upole wake!
Eeeee teh teh teh
Ndio nachokitaka mimii ufungwe ili mfungue mwingine tuliendelezew
Hata mimi ananikera kweli (nadhani ni wote wanaompenda Kiba) ndio maana ya kuanzishwa hii thread kama sehemu ya kujadiliana tujue tutamsaidia vipi...
Bora alale maana huyo anaenda na kundi la watu mia lakin anakosa.
Hivi umepiga mswaki leo au umeibiwa mume nini kila mtu wamuona gume gume humu ndaniii😕😕😕😕
Teh teh endelea kutuhujumu.....Ana kishipa nyekenya muda wote kinamuwasha.
Dina we mtata sana bana
Aaa kuitwa tu kule ni shidaaaaaaaa twajivuniaa
Mtata kama Anchelo kila mahali zina tundu hhhaaaa