Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

anashindana na upepo na roho inamuuma kuona
kuna mtu mwenye akili kaanzisha uzi km huu upo active hauchuji
kuutwa na vithread vyao uchwara jasho linawatoka
wanaanzisha thread mia comment nne
haloooooo

hii thread imejazwa na watu wasio.zidi kumi wakiongozwa na dalari wa T-shirt matola
 
Ngoja nikujibu mrembo King'asti kwa niaba ya wenzio woooote wanaouliza hilo swali...

Hivi wakati Ali Kiba ana hit na cinderella,nakshi nakshi,dushelele n.k alitegemea anguko la nani?alitoka kivyake tena bila hata ya kutegemea skendo tulimjua na kumpenda sana...sasa iweje leo ategemee 'anguko' la diamond?kwa hiyo sasa mtu asitoe wimbo wake kisa kuna diamond?wenyewe wala hawataki ugomvi ni sisi mashabiki tu ndio tunaochochea
Ulitizama show yake kwa sporah?alisema amepambanishwa na watu wengi sana sio Kiba tu....iweje mumng'ang'anie yeye tu?tuache kazi zao ziongee jamani...aliyekua bora atajulikana kwa kazi zake...

Wife inabidi harusi yetu kiba atumbuize,yaani mke genius😀😀😀
 
Last edited by a moderator:
Jamani eeh! Kiba ana madini ya hatari kwenye akiba yake. Ana ngoma kibao kali tupu. Mwambieni Diamond ajiandae kwa mchongo mwingine mapema kama ataendelea kutaka kujipambanisha na Kiba.
Hebu fikiria, Mwana Dar es Salaam ni ngoma ya muda sana, kama miaka miwili na nusu hivi iliyopita. Sasa ana goma hilo kafanya na Fally Ipupa ndo balaa kabisa.
Jamaa anajua kuandika na anajua kuimba achana kabisa na hawa wanaoongea tu kwenye midundo na kutengeneza skendo na warembo ili watoke. Muziki uko wa Kiba bwana.
Ova
 
Kazi ya mtu sio lazima apigiwe debe hivi, bali inajionyesha yenyewe! Mtamuumiza maana roho inataka awike ila mwili hautaki, enzi ikipita imepita ni sawa na kubishana na mda.
 
Maana naogopa kuharibiwa watoto cunajua wengne vichwa maji.....combination imetick.......!shwari lakini nitah naona leo unawapelekwa wisely......😀

Believe me...this is who I am (wiser)...tofauti na hapo ujue na fake tu...hata hivyo nina udhaifu m1 ambao unanipelekea niwe vile...hasira,lakini kwa sasa siipi nafasi tena
 
Kazi ya mtu sio lazima apigiwe debe hivi, bali inajionyesha yenyewe! Mtamuumiza maana roho inataka awike ila mwili hautaki, enzi ikipita imepita ni sawa na kubishana na mda.

Hakika hizi sio akili zako...ni utamu wa miwa unakuponza...si unajua mua ulizamisha meli?
Basi ukimaliza urudi nadhani utakua vizuri...
 
Jamani eeh! Kiba ana madini ya hatari kwenye akiba yake. Ana ngoma kibao kali tupu. Mwambieni Diamond ajiandae kwa mchongo mwingine mapema kama ataendelea kutaka kujipambanisha na Kiba.
Hebu fikiria, Mwana Dar es Salaam ni ngoma ya muda sana, kama miaka miwili na nusu hivi iliyopita. Sasa ana goma hilo kafanya na Fally Ipupa ndo balaa kabisa.
Jamaa anajua kuandika na anajua kuimba achana kabisa na hawa wanaoongea tu kwenye midundo na kutengeneza skendo na warembo ili watoke. Muziki uko wa Kiba bwana.
Ova

Uwiiiiii nakuaminia sana Mdakuzi hebu apia Mungu hapo kwa ngoma yake na Fally Ipupa jamani siamini!!!!
Japo Ali Kiba hapendi show off lakini sasa kazidi...mpole hadi kero anapenda surprise sana
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiii nakuaminia sana Mdakuzi hebu apia Mungu hapo kwa ngoma yake na Fally Ipupa jamani siamini!!!!
Japo Ali Kiba hapendi show off lakini sasa kazidi...mpole hadi kero anapenda surprise sana

Sitanii nitah sio siri kwa ngoma alizonazo Kiba ingekuwa hawa wasanii wapenda sifa asingekubali kukaa nazo tu ndani na kutotoa wimbo wowote kwa miaka mitatu. Kila niliyokuwa nikisikiliza nikawa naiona kali kuliko nyingine, yaani wanaosubiri akosee watasubiri sana coz ana akiba ya madini ya maana.
Huwezi kumfananisha Kiba na Diamond ambaye alishirikishwa kwenye wimbo wa Naumia wa Dayna akaona binti kamfunika, matokeo yake verse yake aliyoiimba kwenye huo wimbo wa Naumia akaifanya kuwa wimbo wa My Number One na ndio maana unaona umekuwa mfupi sana.
Nilifanikiwa kuusikia wimbo wa Naumia huku Diamond akiwa ameingiza verse yake (ambao ndio umekuwa wimbo wa My Number 1), ulikuwa ni wimbo mkali sana na kwa kiasi kikubwa Dayna alimpoteza Diamond na matokeo yake akaamua kuiba beat moja kwa moja na kurekodi wimbo wake haraka haraka.
Fanya hivi, sikiliza verse za Dayna kwenye demo ya Naumia kama unayo, halafu sikiliza verse ya My Number 1, utaona Diamond anajibu verse za Dayna, mfano NAUMIA: 'Moyo umependa sikuwaza ingekuwa donda'. MY NUMBER 1: 'Kidonda chako kwangu maradhi.'
Wimbo ulihusu wapenzi walioachana, lakini mwanamke analalamika kuwa bado anampenda sana mpenzi wake na anaomba amhesabu kama mpenzi wake, ndio maana katika verse ya Diamond anaeleza 'Tumetoka mbali, matatizo ni changamoto'. Kama nikiipata tena ile demo, nitashukuru sana.
Nikirudi TZ nataka tushikie bango suala la Kiba kushiriki kwenye huu uzi, ili tukate ngebe za hawa wenye wenge la zomeo la Fiesta.

Kama ni kweli walikuwa wamesha record I am 100% sure Dayna angetoa huo wimbo kuthibitisha madai yake.
Nahisi hizi ni propaganda...
 
Last edited by a moderator:
Poa poa nimekusoma mkuu Mdakuzi...please ukiipata hiyo demo share with us here..
Kumbe upo abroad?basi ukirudi fanya kama ulivyosema itakua poa sana..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom