Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ooh...mmenifurahisha sana kwa kweli!!mtaa wa jirani wakiona ivi wanalia kwa aibuu!!wao hadi wakumbushie scandal za mtu wao ndo wapate cha kuimba...
 
ooh...mmenifurahisha sana kwa kweli!!mtaa wa jirani wakiona ivi wanalia kwa aibuu!!wao hadi wakumbushie scandal za mtu wao ndo wapate cha kuimba...

ohoooo utaitwa hater sasa hv
TEAM KUSAFIRIA NYOTA ZA MADEMU
HALOOOOWWWWWEEEEEEEEEEEE
NTASUBIRI SANA BBBAAAA(IN MAKONDE VOICE)
 
na moyo wangu tena kuutesaaa nami narelax tu kwa sasa....
Ooooaaaiii×4

ohooo wenzenu mpaka waboost na kashfa ndo wanasikika lloooohhh
ujinga mtupu
kweli mshamba mshamba tuuuu
 
Inaanza Leo bila shaka itabidi wabadilishe muda maana muda mbaya! May be jumatatu inaweza kuwepo SAA 4:45 kama movie zingine!

Wakibadilisha itakua vizuri sana...ni vigumu kuangalia kuanzia 5:30-6:30 alafu jana naona kama ilizidi maana episode ni ndefu sana
 
Hebu mwambie akajambe mbele uko, akuache upumuwe.

teh teh teh ile ghorofa ya baba yako Makongoro juu vipi?
Na ile nyumba yako unataka kupangisha we uende kupanga nayo vipi? Wakati kula kulala ha ha ha
 
Kiba ni noma sana kwa kweli, yaani kaachia ngoma moja tu tena Audio, lakini Nassib ulimi nje. Kashaibua skendo kibao ili afunike, lakini Mwana imesimama palepale.
Asante Kiba kwa kutunyamazishia hawa jamaa maana walizidi sana kutuletea kelele humu ndani.
Ova
 
mmmhhhh...!!!!hahahaaaa
 
......Mpaka anadandi kahaba la Kiganda kutafuta kick, hivi huyu jamaa hawezi kutoa nyimbo bila bila kutafuta attention ya kuwatumia makahaba?
 
Hahahaaaa na bado video haijatoka itakua sheedah nakuambia....
 
......Mpaka anadandi kahaba la Kiganda kutafuta kick, hivi huyu jamaa hawezi kutoa nyimbo bila bila kutafuta attention ya kuwatumia makahaba?

Yeye ndivyo anavyojidanganya kua ni mojawapo ya vitu vinavyomuweka juu...kama ni kweli kaachana na wema namtabiria anguko kubwa sana....
 
Back
Top Bottom