Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima mjeee!Mtakuja tuuu...araaah!
Wanaitana huku bila kujua ni mvuto wa Kiba ndo unaowavuta bila wao kujielewa...!'Gusa unate,hapa panaitwa MTAKUJA!
Kama kwao kumedoda unadhani watafanyaje? Isitoshe huku ndo penye burudani coz kumsifu Kiba wala haihitaji uwe muongo maana ni kweli Kiba ni mkali na ana wimbo mkali unaendelea kutesa redioni.
Na waje tu watatukuta.
Ova
Mtu mwenyewe anajiita Chinga unatarajia nini?
Wapenzi wa Kiba naomba nitowe Complimentary ya vocha/bundle ya Mtandao wowote kwa Fans wa Kiba atakayebahatika kupost page ya 100, maana tuko page ya 82 sasa.
Pendekezeni hiyo vocha/bundle ya thamani gani na Member wa kumpa akabidhi hiyo complimentary kwa uthibitisho kwamba hapa hakuna Fans wa porojo.
Comment za kupendekeza zisizidi 3.
Ujue Matola huyo jamaa muanzilishi wa thread ya mtaa wa pili namuonaga ana swaga flani hivi za kizee ndio maana hua sitaki kubishana nae kabisa....heshma kwa wazee ipewe kipaumbele jamani
kuna tetesi dimond dimond na bikra wake wa kisukuma wana toa rushwa kwenye mitandao ya kijamii kumpaisha domo lakini watakwAma si hatulipwi ni mapenzi kwa kitu kizuri ambacho hakipendi sifa za kijinga.eti mpaka akaloge au ahonge media ndio ajulikane.kiba 4 real.ndio kiboko yao
Wapenzi wa Kiba naomba nitowe Complimentary ya vocha/bundle ya Mtandao wowote kwa Fans wa Kiba atakayebahatika kupost page ya 100, maana tuko page ya 82 sasa.
Pendekezeni hiyo vocha/bundle ya thamani gani na Member wa kumpa akabidhi hiyo complimentary kwa uthibitisho kwamba hapa hakuna Fans wa porojo.
Comment za kupendekeza zisizidi 3.
hahaaa utafanya watu watafute ids mpya hapa waanze kumsifu kiba
Wapenzi wa Kiba naomba nitowe Complimentary ya vocha/bundle ya Mtandao wowote kwa Fans wa Kiba atakayebahatika kupost page ya 100, maana tuko page ya 82 sasa.
Pendekezeni hiyo vocha/bundle ya thamani gani na Member wa kumpa akabidhi hiyo complimentary kwa uthibitisho kwamba hapa hakuna Fans wa porojo.
Comment za kupendekeza zisizidi 3.
wamakonde nnawajaua mie binamu nimekaa nao miaka mitatu
Hahahaaaa gen una miakili wewe hadi nakupendaje sasa....uwiiiii hatutaki I'd mpya apewe,atapewa yeyote yule kati yetu tunaojuana hapa
Mwendokasi wa uzi huu ni balaa maana imeizidi hata hiyo mwendokasi wa mwanga, nasikia majirani uzi wao mwendo kasi wao upo chini mwendokasi wa sauti.