Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kariiibu home Ladatho!!Nimefurahi sana karibu katika familia bora,yenye malezi bora!!Ingawa najua watu itawauma mpaka wapate degedege la nafsi wanabaki kujipitisha tu hapa kama mbu!!kariiibuu
 
hahahahahaahahaaa familia ya wanaoishi kwa matumaini, of coz ndio kilichobakia

Karibu home long time no see!umejikaza wee ukaona bora uje kupumua na kujipa raha ya nafsi kwa kuwaongelesha masahbiki wa King!We are humbled u know kupata wageni mara kwa mara kutoka mtaa wa pili hapa ni mtakuja mummy!!
 
mnapoteza muda tu hapa hata mtukane vipi au mni-rate kwa viwango gani. Kwani Obama ni Mungu akifanya jambo ndio na wewe ufanye? poor thinking capacity

Hujatukanwa unaweweseka ukitukanwa is utajijojolea!!Vipi mbona umekomaa au na wewe unalipwa kuwa hapa!!Wewe ni mtu gani usielewa kama burudani ni sehemu ya maisha ya binadamu!!Burudani ndio ilokuvuta mpaka katika huu uzi!!unataka tusiburudike tufupishe siku za kuishi!!Hata ivo karibu sana,ungetoa ushauri au maoni constructive kwa Kiba ningeona unatumia muda wako vizuri kuliko kujaribu kudeki bahari hapa utapata pressure buuuure!!
 
Kariiibu home Ladatho!!Nimefurahi sana karibu katika familia bora,yenye malezi bora!!Ingawa najua watu itawauma mpaka wapate degedege la nafsi wanabaki kujipitisha tu hapa kama mbu!!kariiibuu

Karibu home long time no see!umejikaza wee ukaona bora uje kupumua na kujipa raha ya nafsi kwa kuwaongelesha masahbiki wa King!We are humbled u know kupata wageni mara kwa mara kutoka mtaa wa pili hapa ni mtakuja mummy!!

ulipotea sana mama, karibu tena na familia inaongezeka tuu, fuul raha na burudani
 
ulipotea sana mama, karibu tena na familia inaongezeka tuu, fuul raha na burudani
Atoto nilikuwa nachakarika kidogo u knw,nafurahi kuona leo umekua mlinzi wa zamu kama mie juzi the tehe the!!
 
Atoto nilikuwa nachakarika kidogo u knw,nafurahi kuona leo umekua mlinzi wa zamu kama mie juzi the tehe the!!

yaaani leo na hivyo nilikuwa just home relaxing nimepetaje humu sasa!!
 
Matola daily kinondoni,Masaki,posta na Upanga!mitaa ya Tandale kule hakatizi sijui y?mie mwenyewe namngoja siku awe karibu na kitaa nikutane na bwana pepsii!

kwa misele huyu jamani hajambo, hebu kutana na kiba umfikishie salamu na ushauri
 
cha ajabu watu walikebehi wee mwisho wakaiga, Matola safi sn now nakosa hata raha nikikosa kuingia huku, a good family always stays together as we are, wapi nifah my sweet sister

Nilikua busy kidogo napika mpenzi,mwanamke jiko mama sio kila kitu house g.....heheheeeer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom