Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kweli kabisa,arrgh ndio maana sijamtaja geniveros sio kwa sababu hajashiriki laah..
Ni kwa sababu alishashinda sasa natamani wengine pia wawe washindi hadi sote humu tuwe washindi...

mi ni ngumu kushiriki kwa sababu zifuatazo:
december ntakua kanda ya ziwa sikukuuu
nna mtoto mdogo
 
Last edited by a moderator:
Haha haaaa yaani atoto ningekua sina moyo mgumu ungenitesa sana...lakini mimi nina msimamo ndio maana siyumbishwi...heheheeerr

hahaaaaa!!h nilimaanisha ucngenitaja ningepaliwa ni typing error tu!hh huhuuuuu mie cheeeka
 
Last edited by a moderator:
Asante, mimi nampendekeza Matola kwa wakiume na wa kike nifah na atoto, ila dah ni kazi ngumu kuchagua coz watu wanapiga mzigo humu balaa, hadi kuacha kuwataja najishtukia, yaani wadada karibu wote wakiingia humu lazima waache alama.
Na wa kiume nao acha kabisa, ndio maana huu uzi una view nyingi sana utadhani wa Siasa, kwa maana watu wanakuja humu kutusoma tu, kisha wanaondoka kimya kimya kwa aibu, yaani mkiniacha huru mimi nitasema wote wanastahili kutwaa tuzo hii.
Ova

Thanks mkuu lakini mimi siwezi kuwa mshiriki kwa sababu ndio nataka kutoa complimentary phase 2.

Na geniveros anazo haki zote za kushiriki tena kwenye phase 2.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom