Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Ngoja Fiesta atatukoma... tutamzomea mpaka ashuke jukwaani
ndilo mliwezalo, kwani kazi ya mbululaz nini vile???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja Fiesta atatukoma... tutamzomea mpaka ashuke jukwaani
ndilo mliwezalo, kwani kazi ya mbululaz nini vile???
kuzomea au??
msubirini tena fiesta, ila kwa sasa mshangilieni tu kiroho safi, msiwe na mioyo migumu kiasi hiki
vipi wazima humu?
Karibu juice,umerudi tena!!Lazima urudi,kwa kuwa unajua Kiba ndo Kiboko ya ndomo y hukuenda kupost kwenye uzi wa bycer au Rich mavoko au Msodoki?Kiba ni mwalimu inabaki ivo,izo shobo nyingine ni kawaida sana
Dai kapata tuzo,la ajabu kitu gani!!Kwani yeye ndo msanii wa kwanza duniani kupata tuzo??
msubirini tena fiesta, ila kwa sasa mshangilieni tu kiroho safi, msiwe na mioyo migumu kiasi hiki
msubirini tena fiesta, ila kwa sasa mshangilieni tu kiroho safi, msiwe na mioyo migumu kiasi hiki
Dai kapata tuzo,la ajabu kitu gani!!Kwani yeye ndo msanii wa kwanza duniani kupata tuzo??
Sasa la ajabu lipi!?kwani yeye ndo wa kwanza Afrika mashariki kupokea tuzo?Msanii kupata tuzo ni tarajio yakinifu sio miujiza,mlitegemea apate nini?Ila ukweli unabaki pale pale shoga Kiba anawakosesha rahaaa!!Jamaniii tuna tuzo ya tatu hhhhhhaaaaaaaa ni taarifa tu
Sasa la ajabu lipi!?kwani yeye ndo wa kwanza Afrika mashariki kupokea tuzo?Msanii kupata tuzo ni tarajio yakinifu sio miujiza,mlitegemea apate nini?Ila ukweli unabaki pale pale shoga Kiba anawakosesha rahaaa!!
Aaah!!Yani mtu anakuchokonoa machoni unamtazama tuu!!Kisa ustaarabu,wee tukikaa kimya sana tutavuliwa mpaka chupi looh!!Just leave them mom ucjibishane nao wakichoka watanyamaza. Hapa ni kwatu wastaarabu xo twaendeleza utamaduni wetu.
Mlinzi wa zamu mzigoni na juice mkononiii,Kiba oyeee!!Tuzo mpate lakini bado anawakereta rohoni woireee,...anawawasha washa akilini kwenu coz ni tishio kwenuuu!