Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hivi jamani hawa watu kwani ni wageni kwenu??? Mbona mnapata shida kujibizana nao!!! Camooon guys they are not worth it, life goes on, wasiwatoe kwenye njia jamani, kiba will always remain the best

mi nshawashusha hawanipi shida ht kidogo sasa hv nawaona wana hadhi ya choo na dampo
 
nani hajui kusoma????
 
Attachments

  • 1417372410337.jpg
    1417372410337.jpg
    42.7 KB · Views: 112
I do remember this statement from Kiba when was performing in Fiesta day, ''Am back'', so where are you? We are looking for you Kiba. Need to understand if you were back in Bongofleva or in Fiesta shows. if was Fiesta well and good, and you were right.

Will see u next Fiesta 2015. But if was Bongofleva, Man it will not be easy, now the game is very hard and tough. How is your song feat Fally Ipupa? u said that! It's almost a year has passed nothing happen. You better look for another job to do, is not only music can accomplish your success.
 
Hii ni habari njema sana mkuu. Coz kijana yuko kwenye mkataba wa Sonny Music ambayo ina ofisi zake pia upande huo.
cc. nifah, Matola, atoto
Ova

Ameombwa sana afanye kichupa cha mwana ingawa alitaka aachie ngoma mpya na chupa jipya..so chupa la mwana kama kawa. .kwa mujibu wa mtu wa karibu zaidi amenambia kuna ngoma anataka kuirelease soon ni msiba hiyo ngoma jinsi kiba alivyopita. ..akitoa hiyo ngoma msishangae mtaa wa pili wakajisingizia hata uhanithi ili wapate kick kwenye media na wakapanic kutoa nyimbo mfululizo. ....kuna show watu wamempandia bei tatizo hawajafika anapotaka kiba!mchizi kiba hana papara yaani alivyorelax huwezi jua km kuna watu wamepanic ujio wake
 
Last edited by a moderator:

acha kujifurahisha wewe kijana hizi story za vijeweni kwenye kahawa peleka huko mbali kiba kufika level za diamond. siyo leo .......
 
Ama kweli ID nyingine zinaonyesha ni jinsi gani mtu alivyo mtupu kichwani...eti Mudawote!!!
Wewe ni nani hadi umuite Kiba mbwa?ina maana sisi na akili zetu tungepoteza muda kumjadili mbwa kweli?
Ok,kama ni mbwa kipi kilichokukereketa hadi umuulizie?tena ukome wewe ndiye mbwa,mbwa.

Mi simjui nilikuwa nauliza tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom