Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
hahaa km namuona diva ndani ya kumbato la babu shemeji
Ha ha ha ha uwiiii siwezi aisee babu atanibemenda mie na alivo na stress uwiiii hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaa km namuona diva ndani ya kumbato la babu shemeji
Kwi kwi kwi!!Kwa matusi ambayo tunapakwa chini ya baraka za babu aisee hapa hapati mke wala mchepuko!!Ole wako Diva utoe number yako kwa Babu!
Ha ha ha ha uwiiii siwezi aisee babu atanibemenda mie na alivo na stress uwiiii hapana
weee hata usiongee kwenye mapenzi anything can hapen, twaweza mpoteza diva hvhv!!!
Nitatumia fitina zangu zote hilo haliwezi kutokea tena kama Diva Beyonce yuko single au kwenye unstable relationship basi jibaba nitapropose myself officialy.
Diva jamani, love conquers all
Huu utoto utaisha lini? Usilaze damu.
Nitatumia fitina zangu zote hilo haliwezi kutokea tena kama Diva Beyonce yuko single au kwenye unstable relationship basi jibaba nitapropose myself officialy.
Huu utoto utaisha lini? Usilaze damu.
Hebu muambie bwana,nadhani amesahau ulishasema we only live once,shauri zake
kwani sheria ya nchi inasemaje???
Best love can even move mount Kilimanjaro to South Africa but babu aandike maumivu atasugua sana gaga hapa.