Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Kwi kwi kwi!!Kwa matusi ambayo tunapakwa chini ya baraka za babu aisee hapa hapati mke wala mchepuko!!Ole wako Diva utoe number yako kwa Babu!

Simpi namba Huyo atafute wa domo fans mke anafikiri ni kirahisi ili akajitape eeh
 
Uwiii...Mdakuzi naye ametulia tuliii....ha ha ha!Atoto usijaliii hana familia bwana...
 
Nisilale kisa nini?Mimi namsubiri Mdakuzi atoe Le Tamkoz hapa


we hivyo ulivyomtolea majicho unadhani ataongea sasa!! ataishia kukohoa tu na kujibaraguza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom