Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Inaonekana kuna baadhi humu mmeanza kuangalia bongo fleva miaka ya 2008, mnashangaza mnaposema anamuiga jamaa yenu utafikiri hamjaiona shooting ya Macmuga

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mnaukumbuka wimbo wa 'njiwa'?

njiwa niko advance zanaki km sikosei au 4m4 kitu km hicho na ule sikuoni kuna dada yule rani aliyemshirikisha ndo alikuaga boy wake weee acha tu
wengine enzi hizo ht la saba hawajamaliza hapa
 
Tafwaaazali Le Royal Family kwa heshima na taadhima tunaomba ukimya wa dk 2 wakati Mdakuzi na baby ake nifah wakicheza blues.....tuweze kuutukuza ule msemo usemao kuwa hakuna urafiki kati ya Me na Ke bila kuishia kitandani!

hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas
 
Last edited by a moderator:
Tafwaaazali Le Royal Family kwa heshima na taadhima tunaomba ukimya wa dk 2 wakati Mdakuzi na baby ake nifah wakicheza blues.....tuweze kuutukuza ule msemo usemao kuwa hakuna urafiki kati ya Me na Ke bila kuishia kitandani!
Hahahahaaa! Mamaaa umeibuka katika mida yako! Wala, hatukuamua tu kuweka wazi kila kitu, ni kama tuliona ni mapema kusema mambo mengi kwa kila mtu. nifah eo alikuwa na furaha sana akanambia anaomba akamilishe furaha yake kwa kuweka wazi.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa! Mamaaa umeibuka katika mida yako! Wala, hatukuamua tu kuweka wazi kila kitu, ni kama tuliona ni mapema kusema mambo mengi kwa kila mtu. nifah eo alikuwa na furaha sana akanambia anaomba akamilishe furaha yake kwa kuweka wazi.
Ova

Hahahah alafu leo nimeibuka na mood ya kuimba.
Ebu sikia hii...

"Mvua ya mapenzi usinyeshe matoneee...
Nyesha waziwazi watu wote waoneee,
Nipe malavidavi alosto niponeee....
Acha mapaparazi camera zisonyee"

So hakuna cha nifah kuomba akamilishe furaha yake wala nini, mapenzi kikohozi nyie semeni tu yamewapaliaaa!!! Huhuuhuuu
 
Last edited by a moderator:
Inaonekana kuna baadhi humu mmeanza kuangalia bongo fleva miaka ya 2008, mnashangaza mnaposema anamuiga jamaa yenu utafikiri hamjaiona shooting ya Macmuga

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

poti usibishane na wachamba wima hawa hadhi yao jalalani tuu
wengi hapa hawajui mziki wala chochote wamekuja mjini baada ya kukosea sign za bodi ya mikopo na asante shule ya kata
 
ushauri utasaidia nini na nyimbo nzuri zote keshaimba na kamaliza!..sasa anatumia nguvu tuu. ningekua karibu nae ningemwambia asihangaike kurekodi rekodi sasa upepo unavuma tandale na si dhani kama anaweza kuhit kiasi cha kumpita yule -----. kiba. a relax sasa hivi ajipange taratibu aki panick atajikuta anatoa nyimbo kumi halafu zote hazihiti, anaweza kuchanganyikiwa na kupotea kabisa. ajipange taratibu kipaji anacho asilazimishe kupaa kipindi hiki ambacho domo yuko juu atayumba sana.
kalagabaho Franklin speaking wewe ndio shabiki wa kiba wa kweli, shabiki damuu, this is my first time nimemnotes shabiki wa kweli wa kiba toka nijiunge na jf, and no doupt wewe ni miongoni wa wale team kiba ya watu watano ambao mwenyewe alikiri kuwatambua.

umeongea facts tupuuu ambazo hakuna hata mmoja anayejiita team kiba alishawahi kusema haya,wamekalia tu kumsifia kinafki, kelele nyingi eti kiba ndio anayekimbiza wengine watangoja sana, hivi kweli kama wewe ujiitae team kiba unampenda kiba toka moyoni unaweza kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kiasi hiki??? kiba anakimbiza wapi na anamkimbiza nani???

kwani ukimwambia ukweli kuwa hafanyi vizuri kwa sasa kwenye mziki, na ukampa ushauri nini cha kufanya ili arudishe heshima yake huoni kuwa hayo ndio yatakuwa mapenzi ya dhati kwake??? acheni kumlinganisha mondi na kiba tafadhali.

kiukweli mimi ni mmoja ya watu ambao huwa namponda kiba sana, na simpondi kwa vile eti simkubali au sitambui kipaji chake, namponda kwa sababu moja kubwa, kiba hakitendei haki kipaji chake, na tatizo kubwa la kiba anasubiri kipaji kimfanyie kazi badala ya yeye kukifanyia kipaji chake kazi, matokeo yake sasa asiyekuwa hata na kipaji kama yeye lakini anakifanyia kazi kipaji kidogo alichonacho mpaka kinaonekana kwa kutumia juhudi na maarifa ndio anaekubalika zaidi, sasa yeye badala ajiongeze nae aongeze juhudi zaidi kwenye kipaji chake analazimisha kuitwa mfalme, na kutaka kumzima daimond ziii kama mshumaa na wakati moto wa mondi umeshakolea na kila siku anauongezea petrol ili uzidi kuwaka na mashabiki tunaweka mafuta ya taa.

ushauri wangu kwa kiba, hizo nguvu anazotumia kutaka kuuzima moto wa mondi, azitumie kuwasha moto wake na sisi mashabiki tutaumwagia petrol.
 
Last edited by a moderator:
You're toxicated, the fact is Kiba ndio wa kwanza kushoot video South Africa song Mac muga.

heheheheheheeee naona watu mnakamusi pembeni ya keybord zenu si bure, haya maneno mnayatoa wapi jamani?? mbuta nanga!!!!
 
Profesa Mkiu

hahahahahahahahaaha kwani huu uzi si mchanganyiko?? au na wenyewe ni special kwa kiba???
 
Last edited by a moderator:
hellow family am back, hahaaaaa jamani Matola na Ms.Lincoln mumewaza mbaaali, no it was just a work staff event, now am heading back home
 
Last edited by a moderator:
watu weweeeeee naona nifah na Mdakuzi love is on the air, am happy for you guys, Kiba katuunganisha jamani, Kibaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom