Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Marumbano ya hoja tupeleke bunge la katiba,it is undisputed kwetu Kiba is the best!Hutaki kafungue mashtaka the Hague!Tumeshauri tukizidi hapo itakuwa masimango sasa...tunangoja ayatendee kazi ikishindikana hapo ndio tutamhukumu!izo nyingine zitakua ni kelele....!

Umeona eeeh?tumechoka bwana,hapa tunamkubali Kiba tu mtu hataki aache tu kwani sh ngapi?
 
Hahahahaaaa safi sana ripota wetu,tumekupata
just imagine huku ni Tarime vijijini na ukiona Mkurya ame admire ngoma za town ujuwe imebamba kinoma!Huku huwa ni mwendo wa ritungu tu but sasa vilabu vyote vya bhusyara mwana ndo habari ya Tarimeeeeeeeeeeee
 
Hahahaaa hiyo ni hatareeeeee mazee.
Natamani nione hiyo ngoma ya ritungu balaa
 
see u later naona wanazengo wamepanick!wanadai me mbinafsi mbona siteremki nao wapate network......afu siunajua tena mda wa kampeni huu tusije shindwa bure coz we need gud relationship with wanazengo!
All in all i real luv and miccccccccccccccccccccccccc u THE KING ALLY KIBA FANS
 
mkuu talented person like Ally Kiba you can't compare with hardworker like Nassbu,
talented person is not man made while hardworker is man made
talented person use mind power while hardworker use manpower
so Nassibu watu wanaomzunguka ndo wanamfanya awe hivyo pia usidhan music ndo ajira yake tu kuna biashara halali na haramu nyuma yake

Kwenye sembe tunajua hawa wasanii wetu hajulikani nan ni nan let stand on things that we can see hata kwa kupapasa I think tuko pamoja ...
Nakubalia na wewe kiba ni talented more than diamond ...... Free mind theory as per our agreements ...je hard working ya kiba iko wapi? ...je kujituma kwa diamond kupo wapi ? Where is creativity of kiba wapi? Ametumia his genus ability? Mim.naamini diamond ni medium talented je ?wewe unaweza kuona impact ya diamond. Kwenye music industry? free minded......tuendeleee.let keep only on fact that feelings Buku saba FC
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu tunashindwa kuelewana na wengine kutokana na Kiba' Fans tunavyotazama au kuchukulia maisha ya muziki. Kabla hujasema chochote jiulizeni kwanza maswali yafuatayo.
Kupata mafanikio katika muziki ni nini? Kuwa na nyimbo nyingi redioni na kwenye TV's Stations? Kuwa na wanawake wengi? Kuripotiwa sana kwenye media kwa habari zisizohusu muziki?
Tumia akili yako binafsi kutafakari yafuatayo, hivi kufanikiwa kimuziki sio kutambulika kama mwanamuziki mkali na kujijenga kiuchumi kupitia muziki? Kuripotiwa na media kwa habari za muziki wako zaidi kuliko upuuzi wako mwingine? Kuwa na wimbo unaotamba?
Kwa kifupi hakuna ambaye hajakiri kama Kiba ni mwanamuziki mkali, kwani hajawahi kutoa wimbo mbaya, na hii ndio sababu ya yeye kujiamini na kuamua kupumzika kwa miaka mitatu na nusu na kutoa fursa kwa wengine kutamba.
Kiba amejijenga vizuri sana kiuchumi kwa sababu hata nyumba yake binafsi ya kuishi alimaliza kuijenga tangu 2007. Na zaidi na miradi ambayo ilimfanya amudu kuishi bila muziki kwa miaka mitatu na nusu mfululizo.
Kiba amekuwa ni mwanamuziki anayeripotiwa zaidi kuhusu muziki wake na ndio maana mpaka leo hakuna maisha yake binafsi yaliyo wazi, zaidi ya kujulikana ana watoto watatu aliozaa na akina mama tofauti.
Kwa kukazia ni kwamba, hakuna kitu katika maisha unaweza kufanya na kufanikiwa bila ya kujiwekea ratiba na ukaiheshimu ratiba yako. Sio kupelekeshwa na matukio yanayozuka kabla ya wakati wa ratiba uliyojipangia.
Kiba alijipa muda wa kupumzika, akaheshimu hilo, kisha akasema natoa wimbo mpya July, akautoa Mwana ambao aliurekodi 2012, so kama asingeheshimu ratiba yake angeutoa siku nyingi na kuvunja mapumziko yake.
Pia, baada ya kutoa Mwana (audio) alisema video atashoot November, na ndivyo alivyofanya, ni utaratibu wa kufuata ratiba uliyojiwekea katika kazi zako, sioni kile kinachoitwa uzembe au kulaza damu.
Upangaji huu wa ratiba ndefu ndefu za kutoa wimbo mpya hufanywa na wanamuziki wenye uwezo mkubwa tu, ndio maana Mwana inaendelea kufanya vizuri kwenye chart licha ya kukaribia miezi mitano sasa tangu itoke, nadhani video ikitoka nayo itakuwa na miezi mitano ya kutamba.
Kutoa nyimbo nyingi ndani ya kipindi kifupi ni kama kujimaliza mwenyewe wakati mwingine, ona Nassib alitoa Bum Bum, baada ya mwezi akatoa Mdogomdogo na moja kwa moja akaiua Bum Bum na sasa mimi binafsi naona kama kaiua Mdogomdogo kwa wimbo wa sasa ambao mapokezi yake si mazuri sana kwani ina video nzuri lakini audio ni ya kawaida sana (kwa maoni yangu).
Kabla Kiba hakuwa na management nzuri na hilo alikiri wakati akihojiwa na Clouds FM mwezi August kama sikosei na ndio maana akaamua kupumzika ili kujisahihisha, ila sasa ametimia karibu kila idara.
Mwacheni aheshimu ratiba yake, coz mpaka sasa bado hajaharibu popote kufuatana na ratiba yake.
Ova
 
Marumbano ya hoja tupeleke bunge la katiba,it is undisputed kwetu Kiba is the best!Hutaki kafungue mashtaka the Hague!Tumeshauri tukizidi hapo itakuwa masimango sasa...tunangoja ayatendee kazi ikishindikana hapo ndio tutamhukumu!izo nyingine zitakua ni kelele....!

Mkuu lazima uwe na fact kusema maji ya uhai ni more quality than kilimajaro usisimamie mazoea mkuu... hapa ni kama tunapumzika after work as hawa watu wawili hakuna anayejua kuwa sisi tuna argument humu ?wao wanapinga hela so hakuna tatizo kubishana kwa hoja it usual mkuu.....
 
Kama wewe ni legend wa hapa javini utakumbuaka wakati huu Uzi unaanza nini kilikuwa kinazungumuziwa ,
1.lengo la uzi ilikuwa kumshauri kiba apige hatua kimuziki .then uzi ukabadilika ukawa "discussion and argument" mpaka sasa ndio kinachoendelea hapa who is correct and wrong ? ukubali ukatae kiba anafanya muziki ashindane na diamond "na diamond the same anafanya hivyo hivyo kumbuka hatukati kushindana "development is due to ideas that contradict " wale professional wa general study mtani ni correct if am wrong " ......ila je kiba is best than diamond that is the question of interest ?

Hii ni kauli inaweza kutoka tu kwa mtu asiyejua Historia ya kimuziki ya Diamond, yaani Kiba anafanya muziki kushindana na mtu ambaye alitoa ruhusa arekodi wimbo wake wa kwanza? Ashindane na mtu ambaye alikuwa anasikiza kazi yake na kumwambia hapa umefanya vizuri, pia fanya hivi na hivi ili iwe nzuri zaidi au usifanye hivi utaiharibu?
Kiba anafanya muziki kwa kuwa yeye ni mwanamuziki, kwa kuwa anajua kuandika nyimbo kali na ana sauti nzuri ya kuimbia.
Ova
 
Hahahaaa sorry again..
Mjini hapa si unajua wanaume hawaaminiki?lazima utumie akili sana kumpata wa ukweli kama Mdakuzi wangu

cku nyingine nakuzomea maana c unajua zomeo linavyofedhehesha
 
Last edited by a moderator:
Kuna kitu tunashindwa kuelewana na wengine kutokana na Kiba' Fans tunavyotazama au kuchukulia maisha ya muziki. Kabla hujasema chochote jiulizeni kwanza maswali yafuatayo.
Kupata mafanikio katika muziki ni nini? Kuwa na nyimbo nyingi redioni na kwenye TV's Stations? Kuwa na wanawake wengi? Kuripotiwa sana kwenye media kwa habari zisizohusu muziki?
Tumia akili yako binafsi kutafakari yafuatayo, hivi kufanikiwa kimuziki sio kutambulika kama mwanamuziki mkali na kujijenga kiuchumi kupitia muziki? Kuripotiwa na media kwa habari za muziki wako zaidi kuliko upuuzi wako mwingine? Kuwa na wimbo unaotamba?
Kwa kifupi hakuna ambaye hajakiri kama Kiba ni mwanamuziki mkali, kwani hajawahi kutoa wimbo mbaya, na hii ndio sababu ya yeye kujiamini na kuamua kupumzika kwa miaka mitatu na nusu na kutoa fursa kwa wengine kutamba.
Kiba amejijenga vizuri sana kiuchumi kwa sababu hata nyumba yake binafsi ya kuishi alimaliza kuijenga tangu 2007. Na zaidi na miradi ambayo ilimfanya amudu kuishi bila muziki kwa miaka mitatu na nusu mfululizo.
Kiba amekuwa ni mwanamuziki anayeripotiwa zaidi kuhusu muziki wake na ndio maana mpaka leo hakuna maisha yake binafsi yaliyo wazi, zaidi ya kujulikana ana watoto watatu aliozaa na akina mama tofauti.
Kwa kukazia ni kwamba, hakuna kitu katika maisha unaweza kufanya na kufanikiwa bila ya kujiwekea ratiba na ukaiheshimu ratiba yako. Sio kupelekeshwa na matukio yanayozuka kabla ya wakati wa ratiba uliyojipangia.
Kiba alijipa muda wa kupumzika, akaheshimu hilo, kisha akasema natoa wimbo mpya July, akautoa Mwana ambao aliurekodi 2012, so kama asingeheshimu ratiba yake angeutoa siku nyingi na kuvunja mapumziko yake.
Pia, baada ya kutoa Mwana (audio) alisema video atashoot November, na ndivyo alivyofanya, ni utaratibu wa kufuata ratiba uliyojiwekea katika kazi zako, sioni kile kinachoitwa uzembe au kulaza damu.
Upangaji huu wa ratiba ndefu ndefu za kutoa wimbo mpya hufanywa na wanamuziki wenye uwezo mkubwa tu, ndio maana Mwana inaendelea kufanya vizuri kwenye chart licha ya kukaribia miezi mitano sasa tangu itoke, nadhani video ikitoka nayo itakuwa na miezi mitano ya kutamba.
Kutoa nyimbo nyingi ndani ya kipindi kifupi ni kama kujimaliza mwenyewe wakati mwingine, ona Nassib alitoa Bum Bum, baada ya mwezi akatoa Mdogomdogo na moja kwa moja akaiua Bum Bum na sasa mimi binafsi naona kama kaiua Mdogomdogo kwa wimbo wa sasa ambao mapokezi yake si mazuri sana kwani ina video nzuri lakini audio ni ya kawaida sana (kwa maoni yangu).
Kabla Kiba hakuwa na management nzuri na hilo alikiri wakati akihojiwa na Clouds FM mwezi August kama sikosei na ndio maana akaamua kupumzika ili kujisahihisha, ila sasa ametimia karibu kila idara.
Mwacheni aheshimu ratiba yake, coz mpaka sasa bado hajaharibu popote kufuatana na ratiba yake.
Ova

Mkuu natofautiana na wewe hapo kwenye manafanikio kimuziki lekebisha hapoo.hata mafanikio ya wasaniii wakubwa hupimwa na kipato alichopata kulingana na mauzo ya albums. Na mikataba mbalimbali na ma company kama hatuwezi.kuona vitu hivyo ni wazi haukumbaliki ndio maana kuna tuzo.pia hivi hupima msanii anakubalika kiasi gani.... Ni hayo mkuu mfano huwezi kusema bushoke anakubalika now ...
 
Back
Top Bottom